Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza waamuzi wa mechi ya nusu fainali ya Kombe la FA kati ya Simba SC na Yanga SC uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Itakuwa ni Kariakoo dabi ya tatu kwa mzimu huu huku mbili zikiwa za Ligi, ya kwanza ilimalizika kwa sare ya 2-2 na ya pili Yanga walishina kwa 1-0 la Bernard Morrison.

Kamishina wa mechi atakuwa Ally Katolila kutoka Dar es Salaam, atakuwa na Nadeem Aloyce, Ramadhan Kayoko, Frank Komba na Kassim Mpanga.
Mwamuzi wa kati ni Abubakar Mturo kutoka Mtwara akisaidiwa na Abdallah Mwinyimkuu kutoka Singida.
Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara waliwatoa Azam FC kwenye robo fainali kwa ushindi a 2-0.


mwajuma
Mambo ayo ya jumapili
caroline
kwa kweli iyo kesho nasubiri kuona yanga akimfunga simba
Angelina
Simba lazima tuue mtu
Dorophina
Naingojea kwa hamu watani wa jadi mechi si ya kuizungumzia tunataka tuone kitakacho jili jpili
Magdalena
Hapo n mwendo wa kusubiria dakika 90 ndo mshindi atapatikana
Antony Luseno
Kesho mbabe atajulikana
isha
Simba hana mpinzani kabisa
Zeiyana
Asante sana kwa taarifa
felister
litakufa jitu iyo kesho
Mwanahamisi
Yanga ushindi ni wetu
Genia Sikaluzwe
Kesho kitaeleweka
Ester jackson
Mambo yameiva sasa kesho tutaona anaeenda kulala mapema atakuwa nani kila la heri katika mechi ya watani wajadi
Mariam mtandama
Asante meridianbet #kwa taarifa
Lydia Emmanuel Magoti
Simba lazima tulihue jitu taree 12 patachimbika
Hamidu
Kesho patachimbika#meridianbettz
Franky
Akitoa boko ni kipigo tu kina muusu
Revina
Mturo ni mwamuzi anaejua kazi yake ,na mchezo ni dk 90
Samira
Ni msimamizi mzuri sana
Ester mmakasa
Kila lakheri kwa timu zetu zote mbili
Ernest
Kwa sasa hii ndio mechi ya homa ya jiji ndani ya Dar es salaam, huku Morrison huku Chama.
Povel tz
Ngoj tuone K/Koo dabi Ila waamuz wameshndwa kufuata sheria 17 za mchezo wa mpr wa miguu thnks kwa update
Nasra
Hii imekaa poa sana
lombo
saf san
Amani
waamuz wameshndwa kufuata sheria 17 za mchezo wa mpr wa miguu thnks kwa update#meridianbettz
Samiah
Simba lzima tumle mtu 🦁🦁🦁
Njiku
Ipo poa hii
Amiri Kayera
Tunatak refa achezesh Kwa haki
Rehema
Hii imekaa fresh
Khadija
Simba lazima ichukue ushind#meridianbettz
Edgar
Mambo uwanjani bhn
Isaya massawe
Simba anakaa mapema tuu
Zuhura omary kindamba
Simba mapema anamfunga mtu kesho
Fatina mfingi
Simba jeshi
Furahav
Hatumwi mtoto dukani.
fatumakasom
Atumwi mtt dukani
Issa
Ngoma kati hiyo
devotha
kila la kheri muamuzi katika kazi yako
Hope mwaikuka
Ni refa mzur
Sadick
Tunashida kubwa kwenye eneo hili,waamuzi wengi wana uwezo mdogo kuchezesha mpira kuzingatia sheria 17 za Soka#meridianbettz
Theonestina
Yanga lazima afe kesho
Omary lukumbi
Itakua mechi ngumu na hamasa kubwa mnoo
Salma
Aya kazi ipo
farida ahmadi
Hapa kazi itakuwepo kweli ngoja tujionee
Asia Abdy
Hyo sio yakukosa
Latifa juma mohamed
Kesho kujionea yake mnyama lazima ageuke kitoweo , yanga iko imara mwamuz sheria za mpira miguu zifuatwe.
Frank Patrick
Bongo mechi ishachezwa kitambo hiyo
David Pere
Huyu maamuzi ataweza kweli
Neema juma
Simba wajiandae kudondoshwaa
Flomena
Safi Sana
Shafii
Ni muamuzi mzuri.
mwakalosi
bonge la refa aisee
warda
Amefanya kazi nzuri sana #Meridianbettz
sabrina
Asante kwa taarifa
Mwajuma msangi
Ameitendea haki kazi yake