Mahakama ya usuluhishi wa masuala ya michezo (CAS) imethibitisha kwamba itatangaza maamuzi siku ya Jumatatu tarehe 13 Julai kwenye rufaa ya Manchester City kufungiwa kutoshirirki ligi ya Mabingwa Ulaya.
Rufaa ya City ilianza kusikilizwa tangu Juni 8 na ilifikia hitimisho siku mbili baadaye, na iliendelea kwa kufanyika kupitia simu ya video.
Klabu hiyo ya Premier League ili endelea kutafuta namna ya kubadili maamuzi ya UEFA kuwafungia kutoshiriki mashindano ya Ulaya misimu miwili ijayo na kuwatoza faini ya €30m baada ya kupatikana na hatia ya kuvunja sheria ya matumizi mabaya ya fedha (Financial Fair Play)

Akiongea siku ya Ijumaa Mkurugenzi wa Manchester City Pep Guardiola alisema anaimani wana nafasi ya kushinda rufaa hiyo.
“Nina jiamini sana kwa sababu nimeona hoja za klabu kwamba msimu ujao tutashiriki katika Champion League.” Alisema Guardiola
Katika mahojiano na NLH, nyota wa City Kevin De Bruyne alipendekeza kwamba atafurahi kukaa hapo Etihad katika kipindi ambacho City watapunguziwa adhabu ya kutoshiriki Uefa kwa mwaka mmoja ingawa kama adhabu ya miaka miwili ikiendelea atakuwa na machaguo mengine ya kuendelea kubaki City au kuondoka.
“Nina subiri,” alisema . “Klabu imetuambia kwamba wanakata rufaa na wana uhakika asilimia mia kwamba wapo sahihi. Ndio maana nasubiri nini kitatokea, nina iamini timu yangu.
“Mara baada ya maamuzi kufanyika, nitapitia kila kitu. Miaka miwili ni mingi sana lakini kama ikitokea mwaka mmoja naweza kuangalia.”


mwajuma
Asanteni kwa taarifa #Meridianbettz
caroline
dah miaka miwili jamani .mbna ni mda mrefu sana.waangalie jinsi ya kupunguza adhabu
Dorophina
Habari njema kwa mashabiki ngoja tungoje iyo tarehe tusikie wanasemaje
Magdalena
Maamuzi yawe mazuri tu maana
Antony Luseno
Shirikisho hilo natumai litawaangalia kwa jicho la pili city
Zeiyana
Kweli miaka miwili mingi sana huwongozi waangalie tu hitawapa clabu asala yingi sana alafu ukiangalia kuna wachezaji walio sajiliwa kipindi hiki istoshe wachezaji walipunzika sana kipindi kile cha korona sisi kama mashabiki tunaomba muangalie na hilo jamani
isha
Makala safi
felister
Mika miwili ni mingi sana Kama kuna uwezekano wapunguziwe adhabu
Angelina
Adhabu kali jaman
Mwanahamisi
Asante kwa taarifa
Ester jackson
Kwa miaka miwili kufungiwa itakuwa mkubwa sana ukizingatia kutokana na ugonjwa wa corona timu nyingi zimepata hasara sana za kupoteza fedha kuwarudishia mashabiki kisha kuwalipa wanaorusha matangazo na kununua wachezaji kama itawasimamisha ndani ya miaka 2 watapata hasara sana hivyo wangepunguza azabu ili mambo yaende sawa hawa kwa kipindi hichi ambacho mashabiki wanaaza kuruhusiwa kuingia uwanjani tunapenda kuziona timu zetu zikichez .mahakam inatakiwa iangalie kwa jicho la Tatu kuhusu azabu wanaweza kupoteza wachezaji wenye uwezo mzuri.#$meridianbettz
Genia Sikaluzwe
Habari njema Sana kwa mashabiki wa soka
Lydia Emmanuel Magoti
Habari njema kwasisi mashabiki
Fatina mfingi
Makala nzur
Mariam mtandama
Habari njema
Franky
Good NeWS
Hamidu
Habari njema kwa mashabiki wa man city
Tusubil inavyokuwa#meridianbettz
Samira
Kwa sisi mashabiki wa man city tunaomba sana CAS itusamehe kabisa…
Revina
Meridianbett sio wa mchezo kwa habari za soka ,mashabiki wa Man city ni habari njema kwao
Adelta
Shirikisho Hilo linaangaliwa kwa jicho
La pili city Ila sisi Kama mashabiki tunaomba wapunguziwe adhabu ili mambo yaendelee
Ester mmakasa
Wafanye tuu maamuzi sisi ni wa sikilizaji tuu.
Theonestina
Kwa ninavyo ona Mimi apo msamaha unaitajika
Ernest
Financial Fair Play hiki kipengele sio pouwa, ila sidhani kama ni Mancity pekee ndio wamekiuka hili swala
Povel tz
Duh majAnga Sana kwa man City ngoj tuone hatima itakuwaje
Nasra
Matokea yatatupa majibu
lombo
mambo ni moto na meridianbet
Samiah
Meridianbet mambo moto
Njiku
Miaka miwili mingi sana wapunguze makali ya adhabu maana wachezaji watasepa kama sane
Amiri Kayera
Bola man city washinde tuwaone next season uefa
Khadija
Habari njema kwa mashabiki wa soka#meridianbettz
Rehema
Asante kwa taarifa
Edgar
nakubali
Zuhura omary kindamba
Tunasubili ayo maamuzi ya rufaa yatangazwe
Isaya massawe
Litakua jambo la kheri kama watashinda rufaa hii
Furahav
Ngoja tuone km watafanikiwa man city.
devotha
asante #meridianbet kwa kutuhabarisha
Hope mwaikuka
Imeeleweka
Sadick
Timu inapofungiwa kucheza UEFA ni changamoto kubwa kwa klabu na wachezaji. Klabu inakosa mapato#meridianbettz
Omary lukumbi
Ni jambo la kushukuru na habar njema kwa shabiki wa man city kurejea tena kwenye uefa champions league
Salma
Dah sijui itakuwaje?
farida ahmadi
Asante kwa taarifa meridianbettz
Asia Abdy
Dah hyo sasa changamoto
Latifa juma mohamed
Ahsante kwa taarifa
Frank Patrick
Kwa aina ya wanasheria waliwaweka City wanaweza punguziwa adhabu naamini hilo
David Pere
Kila shabiki anasikilizia Kama watashinda au wataangukia pua
Neema juma
Habari nzurii
Flomena
Bora tujue muafaka
Shafii
Tunasubili kwa hamu Sana.
mwakalosi
dah city abaki aisee ila kama wana makosa wapewe adhabu
warda
Nawaombea City washidwe hiyo rufaa yao#Meridianbettz
sabrina
Hii ni habari njema
Mwajuma msangi
Hongera zao Manchester city kwa kupunguziwa adhabu