Luka Romero ni mchezaji mchanga kwa mambo mengi ikiwemo kuwa mchezaji wa kulipwa.
Lakini Romero ambaye ana umri wa miaka 15 ameweka historia kwa kuwa mchezaji mchanga zaidi kushiriki katika ligi kuu ya Uhispania.
Akiwa na umri wa miaka 15 na siku 219 , alizaliwa mwezi Januari tarehe mosi 2004 – na alishiriki kwa mara ya kwanza katika ligi kuu akiichezea timu yake Real Club Deportivo Mallorca.
Na alicheza dhidi ya Real Madrid , katika mechi ambayo mji huo wa Uhispania ulipata ushindi wa 2-0.

Alizaliwa nchini Mexico na kusafiri na familia yake yote hadi nchini Uhispania wakati alipokuwa na umri wa miaka 3.
Babake , aliyekuwa kiungo wa kati wa Argentina Diego Romero , alikua akiichezea timu ya Mexico Alacranes de Durango wakati Luka alipozaliwa.
Wengi wamekuwa wakimuita ‘Messy wa Mexico’ huku katika mataifa ya latini wakimuita ‘Messi mpya’.
Romero alihitaji ruhusa maalum katika ligi ili kuweza kushiriki kama mchezaji wa kulipwa wakati ambapo ana umri wa miaka 15.
Kinda huyo anafikiria kuwa mmoja ya washambuliaji bora katika kizazi chake.
Barcelona na Real Madrid tayari wameonesha hamu ya kumsajili mchezaji huyo lakini kwa sasa anaichezea Real Mallorca.
Katika timu hiyo anashirikiana na mchezaji wa Colombia Juan Camilo ‘Cucho’ Hernandez.
Jisajili Upate ofa Kibao na meridianbettz.


mwajuma
Habari nzuri
caroline
messy wa mexico uyo.romero keep it up
Dorophina
Dogo kajitahidi amefika mbali na umri wake bado mdogo
Magdalena
Kijana uyu noma katika soka anajituma sana
isha
Yuko vizuri sana namkubali
Zeiyana
Luka Romero ni mchezaji chipukizi hanaye jituma sana kwa maoni yangu hakiendelea kujituma hivi hivi hatakua zaidi ya messi asikate tamaa tu
Angelina
Namkubali
felister
Romero ni mchezaji mchanga zaidi kushiriki ligi kuu uhispania
Genia Sikaluzwe
Akaendelea kujutuma kwa juhudi ataweza kumfkia messi
Mwanahamisi
Habari njema
Hamidu
Asante kwa update za michezo
Ester jackson
Habari mzuri sana kizazi cha messi mana mda si mrefu na lion messi atastaafu lakini kutokana na vijana ambao wanafuata nyayo zake bado atabaki kuwepo katika kuwa kumbukumbu kwa mashabiki
Mariam mtandama
Habari njema
Lydia Emmanuel Magoti
Dogo anakipaji namkubali Sana huyo Luka Romero anajituma hajua nn anakifanya
Samira
Ni kweli kabisa anauwezo mkubwa sana kwenye kulisakata soka
Franky
Apendi kujichanganya na watu weupe kwasababu ni wabaguzi ndo maana ana kua mchanga wa hakiri
Revina
Messi ni messi na Luka ni Luka kila mtu ana kipaji chake vinavyoweza kufananishwa ni vitu vichache tu lakini hawezi kuwa kama Messi
Ester mmakasa
Kiukweli anajitahidi lakini hawezi kuwa kama Messi.
Ernest
Luka Romero bado anamuda mwingi wa kudhirisha kwa ulimwengu kama yeye ndio mrithi wa Messi
Povel tz
Gud news
lombo
saf sana
Adelta
Habari nzuri
Njiku
Luka fundi yeah nakubali hii
Amiri Kayera
Apamban kufk mafanikio
Rehema
Habari mzuri
Khadija
Habari njema#meridianbettz
Edgar
Kweli kabisa
Zuhura omary kindamba
Habali njema
Issa
Luka fundi
devotha
habari njema
Furahav
Ngoja tuone km messi kweli.
Hope mwaikuka
Jamaa yuko poa
Sadick
Hakuna mchezaji wa kufanana na mwingine. Huyu atakuwa na uwezo huu na akawa na mapungufu haya. Hakuna kama Messi na hatakuja kutokea#meridianbettz
Gabriel
Habar njema
Theonestina
Namkubar Sana
Omary lukumbi
Luka romero atakuja kua tishio baadae na dunia ikamtambua kama wakina messi na Ronaldo
Salma
Habari nzuri
Asia Abdy
Yuko vizur aisee
Frank Patrick
Walikuja wengi wa style yake wakatajwa hvyhvy lkn hamna kitu
David Pere
Ni vizuri Kama watakiendereza
Flomena
Romero alihitaji ruhusa maalum katika ligi ili kuweza kushiriki kama mchezaji wa kulipwa wakati ambapo ana umri wa miaka 15.
Shafii
Dogo akaze hata messi alipofikia alipambana Sana.
Samiah
Yupo vzr
mwakalosi
waache kufananisha messi na vitu vya kijinga aisee
warda
Kwa mbali wanafanana#Meridianbettz
Mwajuma msangi
Talent player