Ake Nathan anatarajiwa kukosa mechi zote zilizo salia katika msimu wa 2019/2020 baada ya kupata majeraha katika mchezo wa jana dhidi ya Leicester City.
Ake alitolewa nje kabla ya mapumziko ya kipindi cha kwanza baada ya kuumizwa na mchezaji wa Leicester City Jarmie Vardy, na nafasi yake kuchukuliwa na Steve Cook.

Mchezaji huyo tegemeo wa Bournemouth alionekana kupata maumivu makali na kutolewa, inakua bahati mbaya kwa Bournemouth katika mechi zao tatu wanazopambana kutoshuka daraja.
Ake amekuwa ni mmoja wa wachezaji bora wa Bournemouth msimuu huu wakiwa wanapambana kuendelea kubaki Ligi Kuu ya Uingereza.
Amekuwa Beki bora pamoja na timu yake kufungwa katika michezo 20 katika msimu huu, na amevivutia vilabu vingine kama klabu yake ya zamani Chelsea na Manchester City katika dirisha dogo la Mwezi January.
Anategemewa kupata waajiri wengine kama timu hiyo itashuka daraja msimu huu.
Kikosi hicho cha Kocha Howe kimefanikiwa kupata alama tatu katika mchezo huo huku wakibaki na michezo migumu iliyobaki dhidi ya Manchester City, Southampton na Everton.
Kuna ofa kibao sana unzaofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu
Bonyeza HAPA Kujiunga.


Tatu
Ake Nathan mungu atamjalia ataludi kwenye hali yake apumzike kwanza #meridianbet
warda
Jamani pole yake Namkubaligi sana Ake#Meridianbettz
Adelta
Pole sana
felister
Pole Ake mwenyezi mungu atakufanyia wepesi
isha
Ake pole sana broo utapona tuu kila jambo linamwisho wake
Lydia Emmanuel Magoti
Daa pole yake na mkubali sana
Magdalena
Pole Sana kwake atapona haraka
Angelina
Getwell soon Ake
Latifa juma mohamed
Get well soon
fatumakasom
Polee sana
Salma
Dah!pole sana
caroline
POLE SANA
Khadija
Pole sana#meridianbettz
Omary lukumbi
Duu hii ni janga kwa kocha howe na club ya bournemouth kwa sabab walikua katika wakat mgumu kupambana kubaki ligi kuu
mwajumah
Pole sana#Meridianbettz
Zeiyana
Pole sana mchezaji makini sana
Shafii
Ni jambo zuri Sana.
Issa
Ake ataikosti
Issa
Ake ataikosti sana timu yake na ni tegemeo kubwa sana pia uwezo wake unamkuna lampard sana
Edgar
Pole sana ila kwanini kipindi hiki majerui wamekuwa wengi sana.
Njiku
Bonge la beki hili dah pole sana ake
JULIANA
Pole beki wetu
Hope mwaikuka
Dah! Pole yake
Isaya massawe
Kuumia kwa Ake ni pigo kubwa kwa timu maana anafanya vizuri
farida ahmadi
Get well soon ake Nathan
Furahav
Pole
Johnmary joel
Pole yake lakin nimchezaji mzuri sana
Gabriel
Nathan ake ni bek mzur sana 👍 Kama hivi kwa mipango ya baadae kwa sasa Bournemouth ingekua na vipaji Vingi na ingekua imefanya mambo makubwa barani ulaya na utajiri mkubwa kwa kuwauza wachezaji hao kwa bei ya juu na ingepata sifa kubwa kua ni nyumba ya vipaji ila sio tu kwa Bournemouth tatizo ya vilabu Vingi vya ulaya haviangalii mtazamo was baadae wao hua wanaangalia mikakati ya mda mfupi na hii inapelekea kufukuza makocha kwa madai kwamba hawafai kwa sababu wachezaji walio kua nao au walio wasajiri wenye majina makubwa ni kwa mda mfupi wanakua washapoteza kiwango Chao ushauri wangu kwa vilabu vyote duniani zingatieni Sana vipaji vya vijana kwani wao badae ndio watakao kua na mipango au mikakati ya mda mrefu kuakikisha timu husika inabaki katika kiwango kile kile katika career ya soka duniani kote ila kwa upande wangu namkubal sana 👍
Hamidu
Habari mbaya ! Mchezaji muhimu Sana #meridianbettz
devotha
pole sana kwake na klabu nzima ya bournemouth
Rehema
Pole
sabrina
Pole sana
Povel tz
Get well soon 🙏🏼
Amiri Kayera
Pgo kubw Kwa Bournemouth
Asia Abdy
Duh pole yake
Samiah
Pole sanaaa
Ernest
Habari mbaya Sana kwa Bournemouth
David Pere
Akipona tu ajiandae na msimu ujao tenaa
Mwajuma msangi
Nijanga kubwa sana ndani ya timu
Ester jackson
Pole sana kijana
Dorophina
Pole yake atakaa sawa ni mchezaji muhimu sana
Genia Sikaluzwe
Pole Sana usijali ulatakaa sawa
Neema juma
Pole yakee
Flomena
Pole Ake mungu akufanyie wepesi upone haraka
Saupha mohamed
Atapona
Fatina mfingi
Pole yake