Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa leo amewaaga rasmi mashabiki wake kwa kusema kuwa msimu ujao hatakuwa ndani ya kikosi cha Yanga.

Kupitia ukurasa wa Instagram,Ngassa ameandakika hivi:-“Kwanza nitoe shukrani zangu kwa wote tuliokuwa pamoja katika kipindi chote, Yanga viongozi wangu mashabiki na wachezaji wenzangu kwa kikao kilichofanywa leo sitakuwa katika kikosi cha Yanga niwatakie mafanikio yalio mema. Enjoy soccer.”
Yanga kwa sasa inafanya maboresho ya kuimarisha kikosi kwa ajili ya kuongeza nguvu kwa msimu wa 2020/21.

Kwa msimu wa 2019/20 Ngassa alikuwa miongoni mwa wazawa ambao walikuwa wanatimiza majukumu yao na alitoa pasi ya mwisho kwenye ushindi wa bao 1-0 mbele ya Lipuli Uwanja wa Samora.
Mchezo wake wa mwisho ilikuwa ni Julai 26 wakati wakisepa na pointi tatu zilizoipa nafasi Yanga kumaliza ikiwa nafasi ya pili na pointi 72.
Tiketi yako ya kwanza kamwe haiwezi kupoteza ukiwa na Meridianbet. Unarudishiwa 100% ya Tiketi yako ya kwanza.


Issa
Anko dah unatisha ila pumzika sana
Sadick
Ngassa alipopata nafasi kucheza nje nilidhani atafika mbali lakini baadaye ilielezwa ana tatizo la nidhani#meridianbettz
Theonestina
Usife moyo ngasa, maisha popote bhanaa
Devotha
Hongera kwa kazi yako uliofanya kipindi chote ulipokua yanga
Sabrina
Kila la kheri Ngasa
Sauda
Juhudi zako tumeziona
Saupha mohamed
Safari njema
Anna macha
Nafasi ya kwenda kupambana kwingine
Povel
Utopolo hiii haistail kumwacha Ngassa ANKO kila isi hvyo Ila Kila la KHERI anko ngassa
Amiri Kayera
Umetumikia Sana kikos cha yanga Acha aondok t
felister
kila kheri ngasa
Shafii
Zama zake zishaisha Huyo jamaa.
Hope mwaikuka
Safar njema
Aziza mushi
Safari njema Ngassa.
Fatuma kasomo
Duuh kapumzike bro
Leonard
Ngassa ana mapenz n club ya yanga ila ni wakati wa kuwaachia vijana wadogo ili kuleta mapinduzi makubwa kwa msimu ujao
Magdalena
Nendà ngassa kasake noti club nyingine Mungu akusimamie
Dorophina
Kila lakheri ngasa maisha popote pale
aisha
Kila la kheri ngasa huko uendako hakuna aliekamilika kila mwanadam anamakosa yake
Ester jackson
Kila la heri ngasa tutakukumbuka sana jinsi ulivyo itumikia yanga kwa hakika ni muda sasa tulikuwa nawe ila sasa katumikie na kwengine
Angelina
Kila kheri
Zeiyana
Kila la kheri ngasa katika safari yako ya mafanikio
Neema juma
Maisha popote ngassa
David Pere
Chenji ameirudisha kweli ,Ila Sasa kikichobakia ni kutafuta timu ambayo kwa kiwango chake anaweza kucheza Kama vile hiefu anaweza na ataisaidia sababu ni mzoefu
felister
kila kheri ngasa
Lydia Emmanuel Magoti
Maisha kokote baba nenda kapambane
Tatu
Kila LA kheri ngassa hatua moja nyengine inafuata
Ernest
Sema Ngassa umri nao kumeshakuchaaa
Salma ngende
Uliitumikia vyema kila la kheri
Gabriel
Habar njema
Furahav
Safari njema anko.
Mwanahamisi
Kila la kheri ngasa
jullie
Alitumikia club vizur sana
Rehema
Kila kheri
Caroline
Aya ngassa nenda
Mwajumah
Safari njema Ngasa
warda
Ametia huruma wakati alivyowaaaga#Meridianbettz