Ole Gunnar Solskjaer amepuuza kuhusishwa nauvumi kuwa yupo karibu kumsaini mchezaji wa Borussia Dortimund Jadon Sancho wakati wa dirisha la usajili siku ya Jumanne.
United walisema kwamba wapo mbioni kukubaliana na vigezo na masharti na timu ya Borussia Dortimund kwa kutaka Dortimund wapunguze ada ya uhamisho wa Sancho ikiwa Dortimund wanataka kitita cha €120m sawa na (£108m) kwaajili ya kuruhusu winga huyo kuondoka klabuni hapo.

Solskjaer hakujibu chochote alipoulizwa kama United wapo katika hatua ya kukamilisha dili hiyo wakati wa dirisha la uasjili.
” Muda wa Dirisha la usajili ni mrefu, kila dirisha la usajili huchukua kozi yake, lipo kama lilivyo, kwa hiyo kama kuna taarifa yoyote tutawajuza,’ alisema meneja huyo wa United.
Solskjaer amepanga kuweka kikosi kama alichokiweka kwenye mchezo wa awali dhidi ya LASK ambapo United ilishinda kwa 5-0 kwenye hatua ya 16 bora, kuelekea mchezo wa marudiano siku ya Jumatano.
Beki Luke Shaw mwenye tatizo la kifundo cha mguu na Axel Tuanzebe hawatohusika kwenye mchezo huo utakao pigwa kwenye dimba la Old Trafford.
“Axel amefanyiwa upasuaji kwenye mguu wake, atarudi mapema mwezi Septemba kama Luke Shaw, anatakiwa awetayari kipindi msimu wa 2020-21 utakapoanza.” alisema kocha huyo wa United.
“Jesse Lingard ataanza kwenye mchezo wa kesho, lakini haitakuwa tofauti sana na ile ilyoshinda goli 5-0 mwezi Machi.
Mechi za Europa League zitachezwa Ujerumani kuanzia hatua ya robo fainali na kuendelea na United watakuwa huko kama wataendele kuwepo kwenye kinyang’anyiro.
United watakabiliana na Instanbul Basaksehir au Copenhagen katika hatua ya itakayofuata.
Tiketi yako ya kwanza kamwe haiwezi kupoteza ukiwa na Meridianbet. Unarudishiwa 100% ya Tiketi yako ya kwanza.


Issa
Sancho atasainiwa tu na man hiyo ni katika kuwapuuza watu wasahau
Shafii
Gud news.
Frank
Wanaweza kumnasa maana thamani zimeshuka sana za wachezaji
Theonestina
Asanteni meridianbet kwa taarifa
Hope mwaikuka
Axante
Samiah
Gud news
Gabriel
Man u tatizo wanachungulia sana hela cha msingi waweke dau mezan coz kiukwel Sancho bonge la mchezaji
Furahav
Habari nzuri.
Amiri Kayera
Sancho lazm atue OT
Venerose
Habari njema
Rehema
Habari mzuri
Franky
Ahaache ujinga uyoo
Caroline
Man wamchukue Sancho.
Nasra
Asantee kwa taarifa
Mwajumah
Habari nzuri
Adelta
Asante kwa makala nzuri
#meridianbettz
magdalena
sancho atachukuliwa tu na united
Dorophina
Man u hawawezi kumuachia sancho kirahisi ivyo
Ester jackson
Man wasipo mchukua Sancho hawana bahati kwa kweli
aisha
Hapo mchawi pesa man mchukueni sancho ni mchezaji mzuri
warda
Man U Waachane nae bwana watuwekee vitu vikali#Meridianbettz
felister
wanaweza kumpata sancho
Zeiyana
Itakua vizuri kama man watamsajili Sancho ni bonge la mchezaji
Njiku
Sancho lazima akupige man u
Tatu
Good news
Fatina mfingi
Makal nzur
Latifa juma mohamed
Asante kwa habari nzuri
Salma ngende
Good
Sadick
Tetesi za usajiri wa Sancho zimevuma muda mrefu sana, tusubiri kuona nini kitatokea mwisho wa siku#meridianbettz
Khadija
Sancho atachukuliwa tuu unite#meridianbettz
Zuhura omary kindamba
Habali njema kabisa
Devotha
Solskjaer anamuhitaji sana Sancho na yupo mbioni kufanikisha hili kwa sababu Sanchez ameshachukuliwa jumla na inter hiyo itawasaidia sana man na itawagharimu kidogo kutokana na mkataba aliousain Sancho huko dortmund
Saupha mohamed
Good news
farida ahmadi
Hana maamuzi kama kocha wa timu yeye achague kitu sahihi
Ernest
Man U ukata unawasumbua
Lydia Emmanuel Magoti
Solskjaer unayumba Nini kumchukua Sancho
Sabrina
Asante kwa habari za michezo na burudani
David Pere
Dortmund Wana mbani a dogo kujiunga na Man U