Hatimae Manchester United wanaweza kuachana na Alexis Sanchez baada ya Inter Millan kukubali kumsajili moja kwa moja kulingana na taarifa kadhaa kutoka Italia.
‘Sky Sports Italy’ wameripoti kwamba mkuregenzi wa Inter Millan Beppe Marrota amekubali kumsajili Alexis Sanchez jumla kutoka Manchester United kwa ada ya uhamisho wa pauni 13.5 milioni. Taarifa hiyo inadai kwamba Sanchez atatangazwa siku ya jumatano baada ya mchezo wa EUROPA dhidi ya Getafe.

Ikiwa dili hilo litakamilika, itakuwa ni habari njema kwa Manchester United wanaotaka kumpunguza Sanchez kikosini kutokana na mapato makubwa anayochukua kwa wiki. Manchester United wanamlipa Sanchez pauni 350,000 kwa wiki.
Kutokana na majeraha ya mara kwa mara na kukosa nafasi katika kikosi cha kwanza, Sanchez alipelekwa Inter kwa mkopo ili akajaribu kurejesha ubora wake.

Licha ya kuwa kwa mkopo, Man United bado walikuwa wanamlipa hela nyingi zaidi ya Inter Millan anaowatumikia. Inter walikuwa wakichangia pauni 150,000 kwa wiki kwenye mshahara wa Sanchez na hawakuwa tayari kumlipa Sanchez mshahara wote, hali iliyosababisha dili la kujiunga nao moja kwa moja kukwama mara kadhaa.
Tiketi yako ya kwanza kamwe haiwezi kupoteza ukiwa na Meridianbet. Unarudishiwa 100% ya Tiketi yako ya kwanza.


jullie
yuko vizur jamaa
Frank
Game za karibuni kakiwasha sana sanchez obvious ni bonge la player
Issa
Sanchez kaonyesha kiwango safi pale inter
Gabriel
Ni habar njema sana kwan tumemuona jitihada zake akiwa inter kiukwel anacheza kwa kiwango kizur kuliko alivyokuwa man u maana ata akisema arud Manchester United lazma achezee bench bora ata alivyofanya maamuz hayo ya kubak inter
Furahav
Itakuwa vizuri.
Amiri Kayera
Abaki Tu inter Milan atawasaidia next season
Shafii
Usajiri mzuri kwa inter kwasababu amekua na wakati mzuri Sana akiwa inter.
Dorophina
Ni wazo zuri alivyohamua kubaki inter kwa kipaji chake kunamfaa wana inter
Venerose
Habari njema
Franky
Katisha
Caroline
Safi Sana Sanchez atawaletea mafanikio makubwa
Nasra
Abaki tu bdo wanamuhitaji
Mwajumah
Abaki tu inter Milan maana jamaa anajua sana
Adelta
Habari nzuri
#meridianbettz
magdalena
kila la kheri sanchez kapige mpira na uongeze ufanisi zaid
Mwanahamisi
Habari njema
Ester jackson
Habari njema sasa ni wakati wako Sanchez kuonyesha uwezo wako mana ulikuwa unapoyea kwenye masikio ya mashabiki
aisha
Ni mchezaji mzuri sana na ndio maana inter millan wameamua kumchukua moja kwa moja
warda
Kwa Raha zake Aende Tu#Meridianbettz
felister
Sanchez ni bonge la player
Zeiyana
Ukiangalia historia yake Sanchez ni mchezaji mpambanaji sana lakini toka haende man Chester amekua haonekani kiwango chake
Njiku
Kwa kiwango anachoonyesha sunchez inter ni kikubwa sana acha andelee kuitumikia inter millano
Tatu
Good news
Fatina mfingi
Safi
Sadick
Man U imetua mzigo wa bili kubwa ya mshahara iliokuwa inamulipa#meridianbettz
Salma ngende
Habari nzuri
Khadija
Itakuwa vizuri#meridianbettz
Zuhura omary kindamba
Asante kwa taarifa Meridianbet
Neema juma
Itakuwa poaw sana
Fatuma kasomo
Vizuri
Devotha
Sanchez yupo vizuri kama watamchukua jumla itawasaidia man United kumpata Sancho
Saupha mohamed
Jamaa anajua
Hope mwaikuka
Namuelewa sana Sanch
Ernest
Deal zuri kwa Sanchez
Lydia Emmanuel Magoti
Itakuwa vizuri sana yupo vizuri Sanchez
Sabrina
Inapendeza
David Pere
Ndio washambeba tenaa