Dybala Atajwa Kama MVP Serie A.

Dybala amepata tuzo ya Heshima ya MVP kwa msimu 2019-20 baada ya kucheza kwa kiwango kizuri na kuisadia timu ya Juventus kutetea ubingwa wa Serie A, lakini mchezaji mwenzake Ronaldo hakutajwa kwenye tuzo hizo.

Dybala amefunga magoli 11 na kutoa pasi za mabao sita katika ligi ikiwa Bianconeri walifanikiwa kutwaa mara tisa ubingwa huo wa Serie A.

Mchezaji huyo wa kimataifa na timu ya taifa ya Argentina aliongoza kwenye viwango, hii ni kwa mujibu wa uchunguzi wa Stats Performs waliweza kukusanya takwimu kutoka kwenye michuano ya Coppa Italia na Supercoppa Italiana pamoja na Serie A.

Ronaldo ameifungia Juve magoli 31 lakini Mreno huyo alipigwa bao na mshambuliaji bora wa msimu Ciro Immobile, ambaye alifikia rekodi ya kufunga magoli mengi kwa msimu mmoja rekodi ya mkongwe Gonzalo Higuan kwa kufunga magoli 36 ndani ya msimu huu akiwa na timu ya Lazio.

Kulikuwa na mafaniko ya juu kabisa kwa mabingwa, walakini Wojciech Szcesny alitajwa kama Golikipa bora, na beki wa Inter Stefan de Vrij alitajwa kama beki bora.

Alejandro Gomez aliyeisaidia Atalanta kumaliza katika nafasi ya tatu alipata tuzo ya kiungo bora wa msimu, Dejan Kulusevski alitajwa kama mchezaji chipukizi wa msimu baada ya kuwa na msimu wa kuvutia akitokea Parma kwa mkopo.

” Ulikuwa ni mwaka mgumu, lakini hawa wachezaji wametuonesha vipaji vyao katika michezo yote waliyo cheza na walicheza kwa kiwango kikubwa,” Luigi De Siervo Mkurugenzi mkuu wa Serie A alisema alipokuwa akiwatangaza washindi wa tuzo hizo.


Tiketi yako ya kwanza kamwe haiwezi kupoteza ukiwa na Meridianbet. Unarudishiwa 100% ya Tiketi yako ya kwanza.

Ingia mchezoni

40 Komentara

    Asante meridianbet kwa taarifa

    Jibu

    Hongera sana Dybala, kaza buti

    Jibu

    Katisha kinyama yani

    Jibu

    Hongera Sana Dyabala

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Pongezi kwake Dyabala#Meridianbettz

    Jibu

    Pongezi kwake
    Yani ametisha sana#meridianbettz

    Jibu

    Pongezi sana dyabala

    Jibu

    Pongezi kwake dybala kwa kupata tunzo hiyo na wezake hapo ndipo pakuigwa na sio kuweka mazoea kwamba kila siku atakuwa ronaldo au messi kutokana na umaarufu wao hapana uwezo wako ndio faida yako wachezaji wa bongo igeni kwa wezonu sasa wanafurahia walichopanda.

    Jibu

    dyabala ana jitihada sana

    Jibu

    Ongera kwake dyabala

    Jibu

    Jamani Mbona Ronaldo ndo kaipaisha Juve #Meridianbettz

    Jibu

    Toka mapunziko ya korona ligi msimu huu kumekua na mabadiliko makubwa sana ongera sana dybala kwa hatua uliyopiga

    Jibu

    pongezi kwake ametisha balaa

    Jibu

    Wachezaji wote wamefanya poa sana naamini ronaldo ni mchezaji mzuri sana licha ya kukosa taji lolote ila ajitahidi msimu ujao achukue tuzo yeyote seriaA

    Jibu

    Hongera sana kwake

    Jibu

    Pongezi nyingi zimfikie dybala

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Duh nadhani CR7 alistahili tuzo mojawapo,sijaona sababu za msingi kukosa tuzo#meridianbettz

    Jibu

    Pongezi kwake.

    Jibu

    Pongezi kwake#meridianbettz

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Dybala amejitahid sana kiukwel hivyo anastahili kupewa tuzo hiyo

    Jibu

    Dybala alistahili iyo tuzo ni mchezaji ambaye namkubali Sana.

    Jibu

    Hongera yake Dybala

    Jibu

    Mmh dyabala lakin alikuwa majeruh kwa muda na alikuwa mechi zingine anakula bench sa sijajua wamchagua kwa vigezo vipi

    Jibu

    Amestahili kabisa Poul kakiwasha sana saana

    Jibu

    Anastahili uyo tunzo

    Jibu

    Hongera sana Dyabala

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Hongera Sana dyabala

    Jibu

    Ulikua msim mzur san kwake

    Jibu

    Pongezi nikwake

    Jibu

    Hongera zake

    Jibu

    Dybala Amestahili hii tuzo bila kupepesa macho

    Jibu

    Ongera yake Dybala

    Jibu

    Hongera kwao.

    Jibu

    Hongera

    Jibu

    Amesyahili sanaa kushinda tuzo hiyo

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.