Man United vs Copenhagen: Manchester United wanatimba dimbani kwenye robo fainali ya Ligi ya Europa dhidi ya Copenhagen wakitarajia kujisogeza karibu zaidi na ushindi wa pili wa Ligi hii baada ya miaka 3.
Kwa upande wa Copenhagen, wamefikia hatua hii ya robo fainali kwa mara ya kwanza katika historia yao.
Baada ya United kushinda goli tano kwa mechi ya kwanza dhidi ya LASK Linz, mechi ya pili pia waliwalaza kwa kichapo cha 2-1 kupitia Jesse Lingard na Anthony Martial.
Mechi hii ni muhimu ili kuweza kusonga mbele kwa vilabu vyote viwili, wakati Copenhagen wakipambana jitihada zao za kufika hatua hii zisiende bure, Man United hawataki kukosa kabisa taji kwa msimu huu unaoisha.
Fomu za Timu : Man United vs Copenhagen
|
Fomu ya Man United (EUROPA) |
L |
W |
D |
W |
W |
W |
|
Fomu ya Man United (Michuano Yote) |
D |
W |
L |
D |
W |
W |
|
Fomu ya Copenhagen (EUROPA) |
W |
L |
D |
W |
L |
W |
|
Fomu ya Copenhagen (Michuano Yote) |
L |
D |
L |
W |
W |
W |
Vikosi Vinavyotarajiwa: Bashiri Mechi Hii HAPA
Manchester United: De Gea; Wan-Bissaka, Lindelof, Maguire, Williams; Pogba, Matic; Greenwood, Fernandes, Rashford; Martial
Copenhagen: Johnsson; Varela, Nelsson, Bjelland, Boilesen; Mudrazija, Zeca; Biel, Wind, Jensen; Kaufmann
Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.


Ester jackson
Asante kwa taarifa
Furahav
Kwa kikosi cha man u hatoki mtu hapo.
rama
Maoni:man u ushindi lazima
aisha
Man u wako vizuri hapo hatoboi mtu
Salma ngende
Hapa kazi ipo
Antony Luseno
United ushindi mkubwa bila shaka
Adelta
Manchester ushindi lazima
@meridianbettz
felister
kwa hiko kikosi cha man sidhani kama atachomoka mtu apo
Sadick
Man U ikuwa ktk form sana siku za karibuni, ina nafasi kubwa kushinda kombe hili#meridianbettz
Khadija
Man u ushindi lazima#meridianbettz
Rehema
Man u ushindi ni lazima
Shafii
Mechi itakua ya kukatana shoka ila man u nampa ushindi.
Lydia Emmanuel Magoti
Man U atoki mtu apo
Issa
United pale mbele ah nusu fainali ilee
Devotha
Ushindi kwa man united
Gabriel
Habar njema
Hope mwaikuka
Taarifa nzur
Neema juma
Habari njema
Mwanahamisi
Ushindi kwa man u
Ernest
Man U wananafasi kubwa sana ya kuushinda leo kutokana na form waliokuwanayo hivi karibuni
Tatu
Habari njema
Sabrina
United atashinda tu
Sylvester
Naona leo Mvua ya magoli itatawala kwani Manchester atampasua mtu si chini ya goli 3,all the best Man United
Povel
Ngoj tuone mpr dk 90
Genia Sikaluzwe
Habari njema
lombo
mambo ni moto na meridianbet
MnonganeJR
Man utd anshinda leo
nategemea atafika mbali katika mshindano haya#meridianbettz
farida ahmadi
Mtanange mkali Sana huu
Theonestina
Man u jeshi
Saupha mohamed
Man u anashinda
Fatuma kasomo
Magoli kama yote
Latifa juma mohamed
United ushindi Kama wote.
David Pere
Cha Man u kinatisha na Cha ushindi kabisa yaani hakuna ubishi hapooooo
Zeiyana
Man Chester wamekua na matokea mabovu msimu huu sijui kama watashinda mechi hiyo
Dorophina
Man u wanakikosi kizuri sana lazima watashinda
Rose kapinga
Man u wamejipanga xana!!!
warda
Nimefurahi sana nilijua tu watashinda #Meridianbettz
Mwajumah
Man u apo ushindi ni lazima#Meridianbettz
magdalena
united pamoja na kupata penalty lakini walijitahidi sana mpira waliucheza vyema pongezi kwao na kwa sisi mashabiki wa united
Nasra
Man U kabahatishaa
Caroline
Kikosi cha Man u kipo vizuri
Omary lukumbi
Man United hawatak kupoteza
Fatina mfingi
Safi
Samiah
Safi