Mabondia hawa wanakutana kwenye pambano lionalowakutanisha kwa mara ya tatu. Pambanohili ni pambalo linatarajiwa kuwa gumu zaidi ya mapambano yaliyopita.
Wawili hawa watakuwa wanakutana ulingoni wikiendi hii kwenye ndondi za UFC uzani mkubwa (UFC Heavyweight). Wanakutana katika ulingo utakaokosa mashabiki viwanja vya Las Vegas.
Katika pambano la kwanza Daniel Cormier alimtandika Miocic, kisha Miocic naye akalipa kisasi kwenye pambano la pili walipokutana mara Agosti 2019 kwenye UFC Middleweight.

Wataalamu wanasema pambano hili la tatu linalowakutanisha mabondia hawa ni pambano gumu ziaid kutabiri nani anaweza kuibuka kidedea na ni pambano ambalo litawavutia wemngi.
Hata hivyo, bondia Darren Stewart anatabiri kuwa huu utakuwa wakati wa Miocic kunyosha mikono na kukubali Cormier kurejesha kisasi.
Japokuwa si kazi rahisi kujua mshindi kutokana na kubadilika badilika kwa mbinu za Miocic, Miocic utakuwa ni wakati wake wa kupindua meza. Yuko tayari kulala macho kwa ajili ya pambano hili.
Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.


Devotha
Tusubirie na tuone nani atampiga mwenzake: Ila huu mchezo wataka moyo sana
warda
Huu mchezo hautabiriki ngoja tusubilie ndani ya kiwanja#Meridianbettz
Sadick
Ulikuwa mchezo wa kusisimua kuangalia,mchezo sio rahisi kutabiri mshindi. Hongera zake#meridianbettz
Povel
Tunasubir kwa hamu ss wapenz wa masubwi
Shafii
Pambano gumu Sana.
Gabriel
Katika mapambano ambayo yako vzur sana na hatar n UFC hayo ni mapambano ambayo yakibabe kabisa wawili hawa watakuwa wanakutana ulingoni wikiendi hii kwenye ndondi za UFC uzani mkubwa (UFC Heavyweight). Wanakutana katika ulingo utakaokosa mashabiki viwanja vya Las Vegas
Hope mwaikuka
💪💪
Fatuma kasomo
Ngoja tuone
Latifa juma mohamed
pambano gumu zaid kutabiri nani anaweza kuibuka kidedea na ni pambano ambalo litawavutia wengi.
Salma ngende
Hapa kazi ipo
Issa
Daniel atalinda historia yake
Omary lukumbi
Tutalisubir kwa ham sana kama tulipo lingoja pambano la mtanzania mwenzetu.mwakinyo
Angelina
Daniel yuko vizur
Venerose
Game itakuwa kali sana
Ester jackson
Pambano la wakali
Rose kapinga
Mchezo mzuri xana huu!!!
Dorophina
Mpambano unaonekana utakuwa mgumu sana tunasubilia kuona nan ataibuka kidedea
Mwajumah
Huu mchezo hautabiliki ngoja tuone ndan ya uwanja
Adelta
Mashabiki tunasubiri kwa hamu sana ili pambano@meridianbettz
aisha
Duuh hapo matokea ni baada ya mchezo lakini ukisema utabili kwa mdomo utakosea sana
Zeiyana
Hawa mabondia wanatafutana sana subiri tuone mwisho wake kwenye pambano la leo
Mwanahamisi
Huu mchezo huwa naupenda sana
Sabrina
Daniel wat u hatupendi maneno tunataka kuona ngumi jiwe chembe kidevu umkalishe mtu.
Fatina mfingi
Asanteh kwa taarifa meridianbet!!!
Lydia Emmanuel Magoti
Huu mchezo autabilikagi ngoja tuone utavyo kuwa pambano hilo
Caroline
Tusubiri tuone itakuwajee
Tatu
Pambano LA nguvu
felister
pambano kali sana hili
Ernest
Hapo pambano tu ndo litaamua nani mbabe zaidi ya mwenzake
Njiku
Asante
Nasra
Litakua pambano la Aina yake nomaa Sana.
Samiah
Wababe wakitambiana
Saupha mohamed
Pambano kali
Janeflora malisa
Wote wapo vzr tusubir matokeo kat yao nani mbabe
farida ahmadi
Pambano kali ngoja tujionee wenyewe
David Pere
Ulikuwa mchezo wa kusisimua kuangalia,mchezo sio rahisi kutabiri mshindi. Hongera zake
magdalena
michuano ilikuwa mikali sana
Shan
Pambano lilikua gumu sana.