Kipigo cha magoli 8-2 kutoka kwa Bayern Munich sio cha kushangaza katika historia ya matokeo mabaya ya timu hiyo. Historia inaonesha huu ni muendelezo wa baadhi ya vipigo vikubwa ambavyo Barcelona wamewahi kuvipata kwenye ulimwengu wa soka.
Ifahamu historia ya matokeo mabaya ya klabu ya Barcelona:
Mechi kati ya Sevilla na Barcelona iliyochezwa katika dimba la Estadio Da Luz mwaka 1946, ilimalizika wa Barca kuburuzwa kwa magoli 8-2 na kuwa ni kipigo kikubwa kuwahi kukipata baada ya miaka 74.

Mwaka 1940, Barcelona walifungwa jumla ya magoli 11-1 dhidi ya Bayern Munich aliyemfunga mara mbili.
Mwaka 1943, katika michuano ya Copa del Rey. Barcelona waliwaburuza mahasimu wao Real Madrid kwenye mchezo wa kwanza kwa ushindi wa magoli 3-0. Hali ilikuwa tofauti katika mchezo wa marudiano, Barca alichakazwa kwa magoli 11-1.

Miaka 3 kabla ya mchezo huo dhidi ya Real Madrid, Barca alichakazwa tena magoli 11-1 na Sevilla katika mchezo wa La Liga. Katika mchezo huu, Barca alitumia dakika 8 tu kupata goli la kuongoza kabla ya Sevilla kutumia saa1 (kuanzia dakika ya 23-83) kufunga magoli 11.
Mwaka 1935, Barca alifungwa 8-2 dhidi ya Real Madrid katika mchezo ambao Fernando Sanudo aliweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga magoli manne peke yake katika mchezo mmoja uliowakutanisha mahasimu hao.

Baada ya kupoteza mchezo wa robo fainali ya UEFA dhidi ya Bayern Munich, hii ni rekodi nyingine mbaya kwa Barcelona ambayo kwa mara ya kwanza tangu msimu wa mwaka 2007/2008 wanamaliza msimu bila kombe lolote.
Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.


Gabriel
Duuuh! Kwel historia inajirudia kabisa ila kiukwel n Jambo la aibu sana
Fatuma kasomo
Duuh pole Barcelona
Hope mwaikuka
Pole yao jaman
Devotha
Historia inazidi kuwaumiza Barca yani hajawahi kumfunga Bayern
Povel
Duh kwl hakunaga jipya chn ya juwa noma sana hiiii
Latifa juma mohamed
Duuh kweli noma Sana lkn wasife moyo wasubir misimu ijayo
Salma ngende
Mambo mabaya kwetu
Issa
Historia inajirudia kwa barca ni msimu wa kukosa hata kombe moja
Omary lukumbi
Historia mbaya waliokua nayo lakin messi hakuwahi kukutana na kipigo kibaya kama hiki kwenye maisha yake ya soka mzee wa lapugya alikutana na kibano kikali mno
Angelina
Barcelona walizingua sana
Venerose
Barcelona wametupa wakati mgumu sisi mashabiki
Ester jackson
Historia mbaya sana ila ni haki yao kabisa mana uongozi hasaivi mbaya hata messi aliongelea hilo .kumkataa nerymaa imekuwa mbaya zaidi kwao wakati yupo katika kikosi cha back nerymaa,messi na suarez walikuwa wanashirikiana vema lakini alivyoondoka nerymaa hakuna aliyeziba nafasi yake waanze upya kufuta historia yao mbaya na sio kumtupia lawama lion messi
Rose kapinga
Aibu xana, Barcelona walikua Kama wamesimama!!!
Dorophina
Dhaa kwaiyo historia ilijirudia Barca wanafanya uzembe sana
Mwajumah
Duuh kweli historia inajiludia ila polen sana barcelona kwa kichapo#Meridianbettz
Adelta
Pole Sana Barcelona
@meridianbettz
Zeiyana
Daaah..!hiyo histor ya zamani since huko na tushasahau nayo maumivu kwa sisi mashabiki sasa hivi tunategemea kuiona Barcelona mpya na siyo ya zamani tena
aisha
Barcelona jipangeni upya msijali maneno ya wanadam
Mwanahamisi
Pole yake barcelona
Sabrina
Duuuh historia ya Barcelona kupotea imerejea
Fatina mfingi
Mmh ilikuwa hatar Ila poleni kwa kweli!!
Lydia Emmanuel Magoti
Awanajipya Barcelona wajipange upya
Caroline
Ha ha ha ha poleni Sana Barcelona
Sauda
Barcelona wameshuka kiwango
Sadick
Duh! kumbeeee!meridianbettz
felister
kwa timu kubwa kama barcelona na kwa kipigo kile ni aibu kubwa
Ernest
Mimi ningekuwa Messi ningetangaza Rasmi kustafu soka maana heshima yake yote aliyoitengeneza miaka kibao iliyopita inataka kubomoka kirahisi sana
Ester mmakasa
Daah! Mpaka inasikitisha Barcelona ila wakaze buti waangalie wapi hapajakàa sawa warekebishe makosa.
Njiku
Hii storia ya barca au mmewazidishia chimvii hahahaha
Nasra
Historia hua inajirudia na hili limejidhihilisha.
Samiah
Pole yao
Saupha mohamed
Pole yao
Janeflora malisa
Polen sana Barcelona
Furahav
Duuuh kumbe barca viande tu.
farida ahmadi
Pole Sana Barcelona ni changamoto kwenye mpira
David Pere
Duuuh! Kwel historia inajirudia kabisa ila kiukwel n Jambo la aibu sana hasa kwa messi
warda
Hii inaitwa kutesa kwa zamu #Meridianbettz
magdalena
kwa kichapo cha 8:2 ni aibu ambayo huwezi ielezea mara mbili bracelona walijua kuwaumiza mioyo mashabiki wake
Shan
Mpira una matokeo ya kushangaza sana.