Hofu imetanda kwa mashabiki wa PSG na cha ajabu hofu hiyo inatokana na tukio la baada ya mchezo wa jana kati ya PSG na RB Leizpg ambapo Neymar alibadilishana jezi na mlinzi wa Leizpg Marcel Halstenberg.

Sasa ishu iko hivi, si unakumbuka baada ya UCL kuanza UEFA walitoa muongozo wa namna mechi zitakavyochezwa?wakisisitiza uchukuaji wa tahadhari kwa wachezaji wakati wa mechi ili kujikinga na Corona!
Katika document ambayo ilikua na kurasa 31 UEFA walisema wachezaji watatakiwa kukaa kwa umbali wa mita moja walioko benchi huku viongozi wakiambiwa kuhusu uvaaji wa masks.
Sii hivyo tu bali pia katika kuhakikisha wachezaji wanachukua tahadhari kuhusu ugonjwa wa Corona, UEFA walisisitiza wachezaji kuepuka kubadilishana jezi baada ya mechi kuisha sheria ambayo Neymar ameikiuka.

UEFA hawajasema ni hatua gani ambayo mtu atakayekiuka sheria hizo atachukuliwa lakini wamesema hiyo itahesabiwa kama tukio moja la utovu wa nidhamu(kukiuka maagizo yao).
Drops and Wins!
Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.


Devotha
Hapo wajiandae kutozwa faini tu
Shafii
Kama neymar anastahili adhabu basi sheria ichukue hatua.
Povel
Sheria ifuate mkondo wake hapo
Mwajumah
Hapo wajiandae kutozwa fain tu#Meridianbettz
Sauda
Mpira una sheria zake, lazima zifuatwe..
Dorophina
Sheria ifuate mkondo wake iwe funzo
Ernest
UEFA na rungu la kipepe, tusubiri tuone lakini kumzuia kutocheza fainali halitakuwa jambo jema
Fatina mfingi
Hapo Sheria ifate mkondo wake ili funzo kwa wengine
Zeiyana
Daah..!ni bora hiwe onyo tu na sio kupewa azabu jamani so kipindi cha kolona himekua wakati mgumu sana hadi kufikia kuizoea hii ali ukiangalia mazoea waliyo jijengea itakua ngumu kidogo
Khadija
hapo sheria ifate mkondo wake
Ester jackson
Daah kwa kweli itakuwa hatari zaidi kwao mana pambano linalokuja mbele yao ni gumu sana ila FIFA hawakutoa kwamba kama ukibadilishana jezi utatozwa pesa au utafungiwa mechi kucheza bado msimpatie adhabu ambayo itamkosesha kuingia uwanjani sisi mashabiki tunataka mchezo usio na lawama
aisha
Hapo kulipa faini inahusika
Adelta
Hapo wajiandaye na fain
@meridianbettz
Mwanahamisi
Sheria ifuate mkondo wake
Magdalena
sheria inabidi ifatwe
Lydia Emmanuel Magoti
Sheria inabidi ifatwe nahapo Kama ajapigwa fain Apo sijui Wana wakati mgumu Sana PSG wajifue zaidi ziopoa hii
Lydia Emmanuel Magoti
Sheria lazima ifatwe hapo sio poa hii
Tahiya
Itakuwa ni kujisahau tyuu ila kama sheria imekiukwa bora adhabu iwe faini ila siyo kukosa fainal jamani
Johnmary joel
Maamuzi yote anayo viongozi wao#meridianbett
Saupha mohamed
Itumike sheria
Amiri Kayera
Mmh mchezaj mkubw lung alitomkuta
Furahav
Daah majanga.
Gabriel
Duuuh! Hizo sheria zimekuwa ngumu sana kwa wenzetu maana ata kitendo cha kubadilisha jez Kuna fain
Sabrina
Duuh hatarii
Janeflora malisa
Viongz watoe uwamuz
Theonestina
Atar
David Pere
UEFA na rungu la kipepe, tusubiri tuone lakini kumzuia kutocheza fainali halitakuwa jambo jema
warda
Dogo nae kwa kuaribu hajambo
felister
hapo wajiandae kutozwa faini
Hope mwaikuka
Duh