Luka Modric kuhusu Tottenham kuzuia usajili wake wa kujiunga na Chelsea mwaka 2011;
“Roman Abramovich hakutaka kuzunguka sana, Nilifika kwenye boti yake na kuniambia tunajua weee ni mchezaji mzuri sana hivyo tunataka usaini Chelsea. Nami pia nilitamani hilo litokee.”

“Kwangu niliona kabisa huu ni muda sahihi wa kujiunga na klabu inayopambania kutwaa mataji jambo ambalo sikuwa nikiliona likitokea ndani ya Tottenham.”
“Roman aliniuliza kama nafikiri Tottenham wataniruhusu nijiunge nayo, nikamjibu kwamba nafikiri usajili utakuwa mgumu sana kwasababu nilijua Chelsea na Tottenham hazikuwa na mahusiano mazuri.”

“Nakumbuka kabla ya michezo ya kujiandaa na msimu mpya, nilimfata mwenyekiti (Daniel Levy) na tukaongea vizuri sana ingawa vyombo vya habari huwa vinaripoti kwamba kuliibuka mzozo, lakini ukweli tuliongea vizuri kabisa.”
“Nakumbuka aliniambia hawatokuwa tayari kuniuza kwa dau lolote na kuniambia wananihitaji niendelee kubaki.”
Modric alicheza msimu huo wa 2011-2012 kwa mafanikio kisha baada ya msimu kuisha akauzwa kwenda Real Madrid.
Drops and Wins!
Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.


Shafii
Kwa kipindi kile Chelsea kweli ilikua na kiu kubwa katika kuinasa kandarasi ya modric hii nadhani walikua wanaogopa kuwauzia siraha maadui.
Theckla
Modric fund Wa mpila Namkubali sana
Povel
Duh kwl hakunaga Siri dunian mm nilikuwah cjui hlo mkongwe maestro Luka modric kafunguka thnks .meridian bet kwa update
Mwajumah
Modric ni fund sana wa mpira anajua sana uyu jamaa#Meridianbettz
Sauda
Modric jembe.
Dorophina
Modric talent player
Ernest
Modric alikuwa moto sana Spurs wasingeweza kuuza Bomu ndani ya Uingereza nipia mahusiano kati ya timu na timu uchangia hili
Zeiyana
Ulikua wakati mgumu sana kwa modric kipindi kile ukiangalia yeye ndoto yake kuichezea clabu inayo pambania kutwa mataji jambo ambalo Tottenham alijawi kutokea
Khadija
Asante kwa makala nzuri
Ester jackson
Modric ni mchezaji mzuri sana ila Luna timu ambazo zinaweza kuzima ndoto za wachezaji kwa sababu zao kwani hamana sheria inayo weka masuluhisho baina ya timu na timu nyingine jaman
aisha
Modric yuko vizuri namkubali sana
Adelta
Modric Yuko vizuri uwanjani
@meridianbettz
Mwanahamisi
Modric Ni mchezaji mzuri
Magdalena
modric amekuwa zaidi ya mchezaji anajituma na anajua nini anakifanya awapo katika imaya za uwanja
Lydia Emmanuel Magoti
Modric nimcezaji mzuri Sana nibonge lamchezaji anajua Nini anakifanya kwenye kaz yake namkubali
Saupha mohamed
Modric yupo vizuri
Salma ngende
Modric fund wa mpila
Furahav
Makala nzuri.
Gabriel
Luka Modric ni mchezaji mzur sana na yuko vzur na pia n kiungo muhimu sana
Johnmary joel
Ningumu kumuuza mchezaji chipukizi kama huyo#meridianbett
Amiri Kayera
Dah wameon bola aende mbar
Sabrina
Modric ni balaa
Devotha
Good newz
Sadick
Daniel Levy anajulikana kama difficult negotiator hivyo haingekuwa rahisi na bei yake ingekuwa kubwa kupindukia#meridianbettz
Janeflora malisa
Yupo vzr modric
Theonestina
Modric jeshi
David Pere
Modric alicheza msimu huo wa 2011-2012 kwa mafanikio kisha baada ya msimu kuisha akauzwa kwenda Real Madrid.
warda
Walikuwa bado wanamuhitaji#Meridianbettz
felister
Modric kiungo mzuri sana
Hope mwaikuka
Kumbe