Wagner: Neymar Haondoki PSG

Mshauri wa Neymar Jr – Wagner amesisitiza winga huyo hatoondoka PSG msimu huu kama watu wengi anavyodhani kwamba ni muda sahihi kurudi Barca.

Kufuatia msimu mbaya kwa timu ya Barcelona, baadhi ya mashabiki wa soka na vyombo vya habari duniani vinadhani ni wakati muafaka wa Neymar kurejea katika timu hiyo ambayo wameanza kufanya mabadiliko makubwa.

Wagner anaamini rafiki yake atabaki PSG na kinachowezekana kufanyika ni Messi na Ronaldo kuhamia PSG kama raisi wa timu hiyo atakuwa na pesa za kufanikisha hilo.

wagner
Messi (kushoto0, Neymar (katikati) na Cristiano Ronaldo (kulia)

Akizungumza na Veja, Wagner amesema ” Neymar anafuraha na ninadhani atabaki PSG kwa misimu mingine miwili ijayo. Kwa sasa, bila shaka ni rahisi kwa Messi kwenda PSG kuliko Neymar kurudi Barca. Messi na Ronaldo, huwezi kuwa na mashaka na uchumi wa Qatar.

“Kuna wakati alikuwa na huzuni kutokana na majeruhi. Kipindi kile alikuwa tayari kuondoka, kurudi Barcelona au kwenda Real Madrid. Sio leo, unaweza kuiona furaha yake.

Wagner anaamini Neymar anaweza kushinda tuzo ya Ballon d’Or.

“Leo hii amewazidi Messi na Ronaldo, kuanzia akili mpaka uwezo. Anastahili, kiuhalisia tuzo itakuwa ni kati ya Neymar, Kylian [Mbappe] and Robert [Lewandowski].

“Fainali ya Ligi ya Mabingwa itatuonesha nani ni bora zaidi duniani. Itakuwa ni fainali ngumu kwa sababu Bayern wanatimu nzuri.”

wagner
PSG vs Bayern Munich

PSG wameweka rekodi ya kufika hatua ya fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa mara ya kwanza msimu huu na watakutana uso kwa uso na Bayern Munich ambao ni wazoefu wa UEFA. Mtanange huu utachezwa jijini Lisbon – Ureno katika dimba la Estadio de Luz.


Drops and Wins!

Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.

Soma zaidi Ucheze

37 Komentara

    Ni vzr

    Jibu

    Neymar anafuraha ya kuendelea kubaki PSG kwa misimu mingine miwili ijayo. Kwa sasa, bila shaka ni rahisi kwa Messi kwenda PSG kuliko Neymar kurudi Barca,coz anaonyesha uwezo mkubwa neymer.

    Jibu

    Neymar anafuraha ya kuendelea kubaki PSG kwa misimu mingine miwili ijayo. Kwa sasa, bila shaka ni rahisi kwa Messi kwenda PSG kuliko Neymar kurudi Barca,coz anaonyesha uwezo mkubwa neymer Ila bado Ana utoto kidogo.

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Ngoja fainali ya uefa ipite ndio tutapata habari kamili

    Jibu

    Bora abaki tu mana Bac alipopataka pesha kuwa pabaya#Meridianbettz

    Jibu

    Mapema sana kuongelea Mustakabari wa maisha ya Neymar ndani ya PSG, Acha UEFA ipite kwanza

    Jibu

    Kweli kabisa neymaar hafai kurudi Barcelona mana Mara ya kwanza hawakumtaka ila hasaivi wanataka kwa sababu tu wameona kuwa wamepotea njia abaki hapo hapo

    Jibu

    Neymar ni wa ,PSG jmn

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Maoni:nikwel psg bado wanaitaji mchango wake kwenye timu

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Ngoja fainali ya uefa ipite ndio tutapata habari kamili#Meridianbettz

    Jibu

    Ni bora akabi PSG Neymar naona kama kunamfaa

    Jibu

    tusubirie fainali ya uefa iishe ndo uo mjadala uanze

    Jibu

    Hayo maamuzi yake mwenyew siku zote wachezaji mastaa wanajichagulia mwenyew timu wanazo taka wao kuzichezea..!ukiangalia pale PSG bado wanakikosi kizuri tu

    Jibu

    Safi sana
    @meridianbettz

    Jibu

    Neymar psg ndio mahala pako#meridianbettz

    Jibu

    neymar psg kafika hawezi kwenda kwingine

    Jibu

    Neymar ni wa apo apo PSG natakipiga apo apo

    Jibu

    Neymar ni mchezaji wa PSG kwa sasa ila ikitokea kuna timu inamtaka lazma watakaa chini wajadiliane

    Jibu

    Natamani kumona Neymar akirudi Barcelona

    Jibu

    Haitabiriki sharo anaweza kuondoka PSG

    Jibu

    Kitendo cha Neymar kuhamia PSG kilishangaza sana,baadaye alijiona amefanya uamuzi mbaya. Nadani kwasasa amezoea mazingira#meridianbettz

    Jibu

    Safi tu ataakibaki PSG ingawaje walio wengi wanatarajia kuona akiondoka PSG

    Jibu

    Bora tu

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Hapa Barcelona inatakwa itafute mbadala maana Neymar kuondoka PSG Ni Jambo gumu hivyo me naiman wakamchukue CR 7 maana nilisikia tetes ambazo zikimuhusu kwamba Barcelona wanampango wa kumchukua nyota huyo wa Juventus naamin Kuna uwezekano wa Barca kusimama tena na kukaa vzur

    Jibu

    Akibaki atafanya jambo la mana.

    Jibu

    Neymar kurudi barca ni rahis sana kwan mapenz ya neymar barca yapo

    Jibu

    Neymer asiende popote apo PSG panampendeza sana

    Jibu

    Kama mtazamo wake kubaki hapo sio vibaya.

    Jibu

    Neymar anataka kua mfalme pale psg kwa hiyo hana sabab ya kuiacha club hyo kwa sasa

    Jibu

    Kama anahitaji kubaki basi abaki tuu

    Jibu

    Habar njema kwa mashabik wa matajir wa ufaransa

    Jibu

    Habari njema Sana kwa mashabiki wa PSG

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.