Kocha wa Napoli, Gennaro Gattuso anafikiria kuwa msimu ujao wa Serie A 2020-21 utakuwa ni ‘msimu mgumu’ lakini anaamini kuwa tayari kikosi ‘kimejiandaa kuwania ubingwa’.
Orodha kamili ya mechi za Serie A 2020-21 inapatikana HAPA
Partenopei wataanza na safari kuelekea Parma kwenye Wiki ya 1 ya Serie A, na mchezo wa kwanza wa nyumbani umepangwa dhidi ya Genoa raundi inayofuata.
“Tutakuwa tayari na kuanza kwa michuano, Utakuwa msimu mgumu kwa sababu Napoli atalazimika kucheza mechi nyingi kubwa mfululizo.” Gennaro Gattuso aliiambia tovuti rasmi ya kilabu.
Vijana wa Gattuso wanakabiliana na Juventus katika raundi ya tatu ya mechi, kabla ya kuwakaribisha Atalanta huko San Paolo kwenye Wiki ya 4 ya Serie A.
Katika Wiki ya 8, Napoli watakutana na Milan nyumbani, kabla ya kusafiri kwenda mji mkuu kuvaana na Roma raundi inayofuata.
Mwendo ni huo huo kwenye Wiki ya 12, wakati ‘The Azzurri’ wanapokutana na Inter huko Milan na kuwatafuta Lazio katika michezo mfululizo.
Kocha huyu anaamini kuwa vijana wake wanapaswa kujiandaa vyema, na hana shaka kuwa watalizingatia hilo.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


Rehema Dickson
Tutapambana nao kibingwa mambo yote mipango tu
Janeflora malisa
Jitaidini sana
aisha
Hakati mtu tamaa tutapambana
Sabrina
Gennaro Gattuso anajiamini na anaamini kikosi chake inapendeza akati tamaa
Sauda
Pambana
Frank P
Napoli ni wapambanaji miaka yote labda awe na maana chanya kwenye kauli yake ila namtakia mafanikio next season
Saupha mohamed
Wapambane
Genia Sikaluzwe
Nivizuri wakajipanga mapema
Povel
Gattuso anakuwah muoga Sana kabla msimu haujaanza duh
Issa
Ni kama anajipa uoga ila napoli ni timu inaoleta ushindan misimu yote
Amiri Kayera
Ni kwer maan vilabu vingi vimejiandaa
rama
kikubwa ku panga kikosi vizuri tu
Revina
Kocha akiongea anamanisha ila yupo makini na kikosi chake
Asia Abdy
Yuko sahih
Hope mwaikuka
Ndo mjkaze sasa ili muendane ma hali itakavyokua
Sadick
Gattuso ana kazi kubwa msimu huu kuifanya Napoli icheze Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu wa 2021/2022 ambao mwaka huu wamekosa#meridianbettz
Rehema
Wapambane sana
Edgar
Kweli kabisa
Theckla
Ni juhudi tu ndizo zinazihitajika
David Pere
Vijana wa Gattuso wanakabiliana na Juventus katika raundi ya tatu ya mechi, kabla ya kuwakaribisha Atalanta huko San Paolo kwenye Wiki ya 4 ya Serie A.
farida ahmadi
Kikubwa kujiweka sawa na kujipanga vizuri msimu huu gattuso
Rose kapinga
Ni kweli msimu ujao,utakua mgumu sana sababu kila timu imejipanga vilivyo
Hilda
Kikubwa kujipanga
Dorophina
Gattuso yupo sahihi maana seria A kila kikosi kimejipanga vizuri hakuna atakaye kubari kushindwa upinzani lazima lakini sio kwa kukata tamaa mapema ivyo
Shani
Maandalizi muhimu!
Adelta
Wanatakiwa waongeze juhudi ili waweze kufikia malengo@meridianbettz
Tatu
Napoli wanatakiwa kupamba wasikate Tamaa huo ni mpira lolote linaweza kutokea
Fatina mfingi
,maandalizi muhimu
magdalena
gattuso ajipange sana vya kutosha msimu ujao maana mambo yanazidi kuwa magumu
Latifa juma mohamed
Hakuna kukata tamaa mapambano yanaendelea
Mwajumah
Ni juhudi tu ndiozinazohitajika#Meridianbettz
Gabriel
Gattuso anakuwah muoga Sana kabla msimu haujaanza kama anajipa uoga ila napoli ni timu inaoleta ushindan misimu yote
Neema
Kitu kikubwa ni kujiaminiii na kuweka imani ya kushinda
Lydia Emmanuel Magoti
Afanye juu Chini akubaliane nahali apambane
felister
kikubwa ni kujitahidi na kujituma
Caroline
Inabidi wajipange maana Mambo ni magumu
Ernest
Gennaro Gattuso ameleta changamoto kubwa sana kwenye ulimwengu wa Soka msimu uliopita ni vizuri akijipanga kivingine tena kuleta changamoto zaidi na kunyakua mataji
lombo
asante meridianbet kwa habar moto moto
Nasra
Kikubwa wazidishe uwezo
Hidaya
Mapambano yanaendelea
Fatuma kasomo
Kweli kabisa
Saupha mohamed
Sasa ni kupambana
Theonestina
Pambaneni tu
Shafii
Yuko sahihi kila timu imejipangaa.
Ester jackson
Mawazo wa kocha yanaonyesha kiu ya jambo Fulani ngoja tusubiri mawazo yake
Samiah
Wapambanetu
Latifa juma mohamed
Kocha huyu anaamini kuwa vijana wake wanapaswa kujiandaa vyema, na hana shaka kuwa watalizingatia hilo.
Agness
Nikweli kabisa maandalizi muhimu
Flomena
Kocha huyu anaamini kuwa vijana wake wanapaswa kujiandaa vyema, na hana shaka kuwa watalizingatia hilo.
warda
Na Kweli Ni msimu mgumu sana