Chelsea inafanya mazungumzo na Rennes juu ya kipa wa kimataifa wa Senegal, Edouard Mendy baada ya kusitisha mipango yao kwa kipa mwingine, Mike Maignan wa Lille – Maignan alikuwa ndio chaguo la kwanza kwenye orodha ya makipa wanaowindwa na Chelsea, na Kocha Frank Lampard alitaka kuongeza ushindani kwa Kepa Arrizabalaga.

Lakini, Lille walitaka pauni milioni 32 kwa mchezaji huyo wa miaka 25, ambayo ilikuwa juu kidogo kuliko hesabu inayotarajiwa ya pauni milioni 22 za mchezaji huyo – Maignan hafurahii kwamba makubaliano hayakukubaliwa kabla ya kujiunga na kikosi cha Ufaransa kwa mchezo wa wikendi hii dhidi ya Sweden kwenye UEFA Nations League.

Petr Cech, mkurugenzi wa ufundi wa Chelsea, ana uhusiano mzuri na Rennes na atakuwa amehusika katika kumtambua Mendy kama kipa mzuri wa bei ndogo – Chelsea sasa inatarajiwa kuweka juhudi zao zote katika kupata makubaliano, ambayo yatamfanya Mendy ahamie London kwa ada ya karibu £18m.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


magdalena
chelsea wekeni kwanja mezani goalkepper mahili sana uyo
Dorophina
Mendy ni kipa mzuri anawafaa kabisa Chelsea
felister
Mendy kipa mzuri Chelsea inabidi kuweka juhudi zao zote ili kupata makubaliano
Caroline
Mendy ni sahihi kwa chelsea.mbona ni kipa mzuri tu
Janeflora malisa
Safi sana krb Chelsea
Mwajumah
Mendy ni kipa mzuri sana anafaa sana chelsea#Meridianbettz
Devotha
Mendy ni sahihi kwao atawafaa sana
Fatina mfigi
Kipa mzur sana karibu Chelsea Mendy wetu
Ernest
Ni vizuri kama Edouard Mendy akaendelea kusalia Rennes
Nasra
Ni sahihi kabisa
Mwanahamisi
Karibu chelsea
aisha
Karibu sana meddy chelssa
Povel
Mendy Chelsea now co sehemu Salam kwake
Genia Sikaluzwe
Mendy Chelsea now co sehemu Salam kwake
Adelta
Mendy Ni kipa mzuri anawafaa Sana Chelsea
@meridianbettz
lombo
medyy yuko vzur
Tumaini kasalile
Karibu Chelsea
Saupha mohamed
Kipa mzuri sana inafaa kwa Chelsea
Shafii
Chelsea anashida ya kipa ndio ila sio kwa Mendy.
Sauda
Chelsea chukueni jembe hilo
Lydia Emmanuel Magoti
Chelsea kazi kwao sasa majembe yanashuka tuu Apo krabuni kupiga kaz
JULIANA WILBARD ALEX
Anastahiri
Amiri Kayera
Ni kipa mzur
Shani
Mendy ni safi sana tu
Hidaya
Kila mahiri anajua anachokifanya
Hope mwaikuka
Yes ni sahihi kabsaa
Issa
Mendy kinukishe hapo
David Pere
Mendy Chelsea now co sehemu Salam kwake
Gabriel
Chelsea anashida ya kipa ndio ila sio kwa Mendy.
Theonestina
Habari njema
Rose kapinga
Mendy Kama Mendy mlinzi mashuhuri na hodari kwenye kazi yake!!
Sadick
Chelsea inahitaji mno Golikipa makini kuleta ushindani kwa Kepa ambaye amekuwa na kiwango kibovu mno#meridianbettz
Khadija
Meddy kipa mzuri anawafaa sana chelsea#meridianbettz
Rehema
Asante kwa taarifa
Sabrina
Mendy no Melinda mango mahili sana
Ester jackson
Duuh Mendy hafaii kwenda Chelsea hana uwezo mzuri
warda
Hapa chelsea watakula za uso
Neema
Kipa huyu anajielewa vzr
Furahav
Mendy yuko vizuri.