Roma Kusuka Bodi Mpya ya Wakurugenzi

Roma wametangaza majina tisa ya wanaowania nafasi katika Bodi ya Wakurugenzi wa klabu hiyo. Orodha hiyo inawahusisha Dan Friedkin, mwanaye Ryan na CEO Guido Fienga.

Friedkin Group walimaliza biashara ya kuinunua klabu mwezi uliopita, na kuufanya mwisho wa utawala wa James Pallotta pale Stadio Olimpico baada ya miaka 8.

Dan Friedkin ni Mmiliki Mpya wa Roma
Dan Friedkin ni Mmiliki Mpya wa klabu

Kikao cha wanahisa wa klabu hii kimepangwa kufanyika Septemba 29 kwa ajli ya kufanya maamuzi muhimu yatakayoiongoza klabu kwa takribani miaka mitatu.

Orodha ya Majina ya Wanaowania Kuingia kwenye Bodi ya Wakurugenzi Roma
            • Dan Thomas Friedkin
            • Ryan Patrick Friedkin,
            • Guido Fienga
            • Marcus Arthur Watts
            • Eric Felen III Williamson
            • Analaura Moreira-Dunkel
            • Benedetta Navarra
            • Mirella Pellegrini
            • Ines Gandini.

Kikao cha wanahisa ndiyo kitatoa mwanga na hatma ya watia nia hawa ambao wanatarajiwa kuwa watakuwa nyuma ya maendeleo ya klabu ya AS Roma.


 

SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

51 Komentara

    Mi naona kama Marcus yupo vizuri kazi inamfaa kabisa hiyo wampitishe tu

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Kazi nzuri!!

    Jibu

    Natarajia mwenyewe hisa nyingi Dan Thomas Friedkin kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa bodi#meridianbettz

    Jibu

    Safi sana #meridianbettz

    Jibu

    Naona wanajipanga

    Jibu

    Kazi nzuri#Meridianbettz

    Jibu

    Jambo zuri sana

    Jibu

    Vzuri sana

    Jibu

    Ni jambo jema sana

    Jibu

    Inapendeza

    Jibu

    apitishwe tu maana yupo vizuri sana na anajituma na kujitoa pia

    Jibu

    Ni Jambo jema sana

    Jibu

    Roma yuko vizuri sana

    Jibu

    Hili ndo swala ambalo vilabu vingine vinatakiwa kufanya

    Jibu

    Ingekuwa vizuri zaidi Dan Thomas Friedkin angeongoza ingekuwa powa sana

    Jibu

    Wako vizuri

    Jibu

    Ni safi kuunda bodi mpya na kuleta Mapinduzi ndan ya klabu

    Jibu

    Ni vizuri kufanya mabadiliko ili kuleta ufanisi zaidi

    Jibu

    Ni Jambo jema

    Jibu

    Clabu nyingi zikitumia mwenendo huu hifaa zaidi

    Jibu

    Vizur

    Jibu

    Uamuz mzur san

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Imekaa poa sana 👍 Kama Friedkin Group walimaliza biashara ya kuinunua klabu mwezi uliopita, na kuufanya mwisho wa utawala wa James Pallotta pale Stadio Olimpico baada ya miaka 8 ninamatumain nao kufanya vzur sana zaid ya pallotta

    Jibu

    Roma safi kuiweka timu vizuri

    Jibu

    Roma walete mabadiliko ya kweli yenye ushindani

    Jibu

    Itapendeza sana

    Jibu

    wachague wajumbe wazur weny macho na utash wa kuona vipaji vya wachezaji chipkiz

    Jibu

    Vizur Sana

    Jibu

    Roma tunataka mabadiliko Sasa

    Jibu

    Inapendeza

    Jibu

    Kweli wameamua

    Jibu

    Iko vyema kabisa

    Jibu

    Iko poa sanaaa

    Jibu

    Iko vizuri sanaaa

    Jibu

    Marcus apitishwe tu

    Jibu

    Ni jambo zuri natumain litakuwah fundisho kwa vilabu vingne kuiga mwenendo huu

    Jibu

    Watakua wamefanya la maana sana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Jambo kama hili vilabu vingi vinatakiwa kufany

    Jibu

    Itapendeza Sana.

    Jibu

    Safii sana

    Jibu

    Pongezi kwa Dan Friedkin, Ryan na Guido Fienga ni wakati wao sasa kuifanya Roma Timu kubwa kwenye ulimwengu wa Soka

    Jibu

    Naona club ya roma inajipanga ili kuja kivingine

    Jibu

    Jambo nzuri

    Jibu

    Kazi nzuri

    Jibu

    Safii sana

    Jibu

    Imekaa poa sana 👍 Kama Friedkin Group walimaliza biashara ya kuinunua klabu mwezi uliopita, na kuufanya mwisho wa utawala wa James Pallotta pale Stadio Olimpico baada ya miaka 8 ninamatumain nao kufanya vzur sana zaid ya pallotta

    Jibu

    vizuri sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.