Bayern Wamuachia Ivan Perisic Kwenda Inter

Kocha wa Bayern Munich, Hansi Flick amethibitisha kuwa klabu imeamua kutoendelea na Ivan Perisic ambaye atatakiwa kurejea Inter kwa ajili ya mipango mingine.

Nyota huyu mwenye miaka 31, raia wa Croatia aliondoka kwa mkopo wa €5m huku kukiwa na sharti la kumnunua mwisho wa msimu kwa €20m.

Sharti la kumnunua halijawa chaguo la klabu ya Bayern kwa sasa baada ya kujaribu kufanya mazungumzo ya kupunguza dau la staa huyu.

“Tumeamua kutoendelea na Alvaro Odriozola, Philippe Coutinho na Ivan Perisic.”

Perisic amecheza mechi 35 kwa Bayern walipokuwa wakilisaka taji la Bundesliga na taji la Ligi ya Mabingwa UEFA. Amefunga jumla ya magoli 8 na kutoa pasi 10 za usaidizi wa magoli.

Kutokana na taarifa hii inangojewa kuona staa huyu atasalia Inter Milan au atafanyiwa mpango mwingine wa uhamisho kwenda klabu mpya.


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza Sasa.

50 Komentara

    Maamuzi mazuri

    Jibu

    Maamuzi ni mazur

    Jibu

    Ni fresh tu

    Jibu

    Inapendeza

    Jibu

    wamefanya maamuzi mazuri sana

    Jibu

    Ivan kila la kher nenda kaonyeshe kipaji chako

    Jibu

    Bora angeendelea kuwepo na bingwa awo wa ulaya

    Jibu

    Ivan Perisic ni mchezaji mzr ambaye aliisaidia sana timu yake ya Taifa Croatia kwenye mashindano ya kombe la dunia 2018#meridianbettz

    Jibu

    Ni mchezaji mzuri na anaejituma sijui kwann wameamua kumuachia

    Jibu

    Wamefanya jambo la busara sana.

    Jibu

    Perisic ni mtu muhim kurudi inter ni safi

    Jibu

    Safiii

    Jibu

    Mwacheni akapate challenge

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Bayern wameona hawana umuimu nae tena Ivan ndio maana wamemgawa kwenda inter

    Jibu

    Saf

    Jibu

    Bora aende tu akabadili upepo

    Jibu

    Ivan Ni mchezaji mzuri na anajituma katika Kazi yake#meridianbettz

    Jibu

    Kila la kher

    Jibu

    Ivan Ni mchezaji mzuri sana

    Jibu

    Wamefanya Jambo la busara sana#Meridianbettz

    Jibu

    Wamefanya jambo zuri

    Jibu

    maamuzi mazuri sana

    Jibu

    Perisic rudi nyumban ukaimarishe kikosi

    Jibu

    Ni vema walivoamua

    Jibu

    Inter imelamba dume

    Jibu

    Safe journey to him

    Jibu

    kijana anarud nyumban baada ya kuitumikia bayern kwa mkopo nimda wakuonyesha kiwango sas alichokipata munich.

    Jibu

    Good

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Maamuzi mazuri sana

    Jibu

    Sio mbaya Ivan perisic kwenda inter

    Jibu

    Jambo jema

    Jibu

    Iko sawa kabisa inapendeza

    Jibu

    Amefanya huwamuzi mzur

    Jibu

    Bayern walikuwah wanatak kumpa parmanent deal ila dau wanalolitak inter milan ndo wameshindwana ndo maana wanamuacha arud nyumban inter tu

    Jibu

    maamuzi mazuri sana

    Jibu

    Wote bado wachezaji wazuri sema tuu Bayern wamegoma kuendelea kuwanao kwa msimu mwingine zaidi

    Jibu

    Ivan bora sense inter akapate challenge nyingine huko

    Jibu

    Wamefanya mamuzi sahii

    Jibu

    Habari nzuri.

    Jibu

    Uwamuzi mzuri

    Jibu

    Gud

    Jibu

    kijana anarud nyumban baada ya kuitumikia bayern kwa mkopo nimda wakuonyesha kiwango sas alichokipata munich.

    Jibu

    Anarudi ktk timu iliyo Bora kusaka changamoto nyingine kwa mara nyingine

    Jibu

    Ni fresh tu

    Jibu

    Lazima Walinde Maslahi ya timu

    Jibu

    Mamuzi mazuri

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.