Arteta Kuwa Meneja Arsenal

Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, amepandichwa cheo klabuni hapo kutoka kocha mkuu wa kikosi cha kwanza hadi meneja.

Mtendaji mkuu wa Arsenal,  Vinai Venkatesham, amesema uamuzi huo umetokana na mafanikio ya kocha huyo kijana tangu arithi mikoba ya raia mwenzake wa Hispania, Unai Emery, Disemba 2019.

Arteta alitambulishwa kama kocha mkuu, nafasi ambayo ilianza kutumika klabuni hapo baada ya kuondoka kwa ‘Mzee Kigogo’ Profesa Arsene Wenger mwaka 2018.

TOFAUTI YA MENEJA NA KOCHA MKUU

Kwa Uingereza, meneja huwa na mamlaka kamili juu ya wafanyakazi wenzake wote walio chini yake. Pia ndiyo mwenye kauli ya mwisho juu ya usajili na mikataba ya wachezaji.

Kocha mkuu kazi yake ni kufundisha tu na kupanga wachezaji siku ya mechi, mambo ya usajili yanakuwa chini mkurugenzi wa michezo, wa mpira au wa ufundi, kulingana na utamaduni wa klabu husika, wakati mwingine huwa chini ya mabosi wenyewe.

ARTETA

Kwa nafasi hii, Arteta atafanya kazi kwa ukaribu na mkurugenzi wa ufundi, Edu, wote wachezaji wa zamani wa klabu hiyo, japo hawakukutana.

Hata hivyo, majukumu yake ya kufundisha yanabaki pale pale, ni kama tu ameongezewa majukumu na mamlaka. Kwa sasa Arteta ana mamlaka sawa na aliyokuwa nayo Arsene Wenger kwa miaka 22 klabuni hapo.


SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

35 Komentara

    Hongera Sana Arteta kwa kazi nzuri uliyofanya wewe nimfano wa kuigwa@meridianbettz

    Jibu

    Hongera arteta na kia lakheri katika majukumu yako mapya chama limekuamini ndiomaana wamekupandisha cheo

    Jibu

    Kwangu ni mapema mno kumupa majukumu yote mapema, bado no kocha kijana na nafasi ya Meneja ni kubwa na majukumu ni mengi#meridianbettz

    Jibu

    hongera arteta kwa kupandishwa cheo

    Jibu

    Hongera sana arteta kwa kazi zuri

    Jibu

    Hongera yake Arteta kwakazi nzuri

    Jibu

    Hongera Arteta kwa kupandishwa cheo#Meridianbettz

    Jibu

    Kila la kheri Arteta

    Jibu

    Good

    Jibu

    Wesha Mkubali sasa ngoja aje Awayumbishe ndo atatimuliwa Mbali#Meridianbettz

    Jibu

    Salute kwa Arteta ila msumu huu anakazi ya kulinda heshima yake lakini kwa msaada wa wachezaji wake.

    Jibu

    Arteta jitaidi upambanie nafasi yako,usiwaangushe wana imani na wewe

    Jibu

    Arteta ni safi kuifanyia arsenal mazuri na imetokea kumuamin sana

    Jibu

    arsenal bhn sasa ndio wamefanya nini 😂😂😂😂😂😂

    Jibu

    Safi

    Jibu

    pongezi kwake#meridianbettz

    Jibu

    Hongera Sana arteta

    Jibu

    Hongera Mikel arteta kwa kupanda cheo kutoka mwenye ukocha hadi manager hii inatoka na juhudi zako ktk kujituma

    Jibu

    habar njema

    Jibu

    Asantee kwa taarifa

    Jibu

    Arteta kocha mzur sana

    Jibu

    Hongera sana arteta unastahili kwa sababu umeibadilisha arsenal ndani ya miez tisa💪👏👏👏

    Jibu

    Arteta ameielewa arsenal kwa muda mfupi sana na kaipa mafanikio

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Hii iko vizuri.

    Jibu

    Kazi nzuri Arteta

    Jibu

    Ongera kwako arteta umeaminiwa natumai hutotuangusha

    Jibu

    Pongezi kwake Mikel arteta.

    Jibu

    Hongera zakee.

    Jibu

    Goodluck

    Jibu

    Pongezi kwake Arteta

    Jibu

    Big up kwako Arteta kwa kupandishwa cheo

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.