Jose Mourinho amesema kwamba Gareth Bale atarudi haraka kuwa fit baada ya kupata jeraha la goti hii ni kwa sababu Bale ana mapenzi na timu ya Spurs na anahamu ya kucheza tena katika Premier League.
Bale mwenye umri wa miaka 31 amekamilisha usajili wake akitokea klabu ya Real Madrid kwa mkopo wa muda mrefu wa kwenda Tottenham siku ya Jumamosi ambako aliondoka miaka saba iliyopita na kuweka rekodi ya dunia ya uhamisho wa pesa nyingi.
Bale hayupo katika mipango ya Zinedine Zidane.
Ingawa alipokuwa Real Madrid alifurahia mafanikio makubwa kama vile kushinda taji la Champions League mara nne, lakini amekuwa katika sintofahamu katika kikosi cha Madrid kwa kutopewa nafasi ya kucheza na kocha Zinedine Zidane miaka ya hivi karibuni.
Kurudi katika klabu ya Spurs kutadhihirisha ubora wake msimu huu na kocha Mourinho amesema Bale atapona haraka jeraha lake kwani ana kiu ya kucheza kwa klabu anayoipenda.
“Sijui ni lini Bale atarudi uwanjani ,” alisema Mourinho. ninachokijua anahamasa kubwa ya kucheza kwa sababu ana furaha kuwa na klabu ya moyo wake.
“Anafurahia kucheza akiwa na sisi, mchezaji akiwa katika hali hii mara nyingi hupunguza muda wa kujiweka sawa, akiwa fiti atakuwa tayari kucheza.

Uthibitisho wa Bale kuondoka Madrid ulikuja muda mfupi baada ya uhamisho wa Reguilon, beki huyo wa kushoto ambaye pia ni Mhispania alitua Tottenham akitokea Madrid alikwenda kwa mkopo Sevilla msimu 2019-20.
Spurs watarudi dimbani kwa mchezo wa EFL Cup dhidi ya Leyton Orient siku ya Jumanne na wakati Mourinho akifikiria Reguilon atakuja muda si mrefu, lakini anatakiwa kuwa tayari kuwatembelea Newcastle United siku ya Jumapili.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


Sabrina
Akiingia dimbani atafanya vizuri tu Bale fundi
Neema
Naamini Bale ndoto zake zimetimia na atafanya juhudi kuhakikisha anakuwa mshindi.
Shan
Hilo alipingik spurs ni sehem ambayo atakuw komfotabo zaid
Khadija
Itakuwa vzr sana
Hopemwaikuka
I think so
Issa
Ni sehem sahih ya bale sabab kiwango na umahir wake umeanzia toka hapo spurs kwaio ni kama karud nyumbani
felister
kurudi klabuni apo kutadhihirisha ubora wa bale
aisha
Spurs mtafanya jambo la maana kama itakua ivyo
Tumaini kasalile
Pole kwake balle mungu amuwafu
Theckla
Acha tuone
Ernest
Bale, Son na Kane sio pouwa
Faraja molell
Pole sana balle
magdalena
ndoto ya bale kwenda spurs imetimia lazima awe na mapenzi na timu
Nasra
Vzuri sana
Elika
Bale Yuko vizur
Dorophina
Get well soon bale huendelee kulisongesha
Sadick
Bale winga wa kushoto ya Tottenham ambayo haijawahi kutokea na ndicho kilichopelekea Real Madrid kumusajiri#meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Akirejea apo dimani mtahuona umunimu wa Bale
Tatu
Bale ni mchezaji mwenye kiwango kikubwa
Caroline
Bale anaipenda Sana spurs.ni klabu anayoipenda kwa moyo wake
Angelina
Bale bonge la fundi
Zeiyana
Kuondoka pale Madrid bale yote sababu hasipoteze kipaji chake kwa kutoelewana yeye na kocha wake tunaimani spurs hatafanya vizuri sana ukiachana na mapenzi aliyokua nayo pale spurs pia hana kiu ya kulisakata kabumbu ukingalia pale Madrid amekua sana bench
Antony Luseno
Mourihno ashindwe mwenyewe lakin wachezaji anao
Amani
Kweli kabisa
Salma ngende
Acha tuone
Gabriel
Bale ndoto zake zimetimia na atafanya juhudi kuhakikisha anakuwa mshindi.
Venerose
Ngoja tuone itakuaje
Janeflora malisa
Kwel
Ester jackson
Good news
Rose kapinga
Pole kwa majeraha!!
Saupha mohamed
Bale fundii
marry
vzr
Sauda
Bale jembe
Frank P
Wote hawa ni injury friend
Latifa juma mohamed
Bale yupo vzr Sana.
Mwajumah
Itakua vizuri sana
Samiah
Gud
David Pere
Naamini Bale ndoto zake zimetimia na atafanya juhudi kuhakikisha anakuwa mshindi.