Klabu ya Tottenham inafanya mazungumzo ya kumsajili mlinizi Milan Skriniar. Skriniar anatajwa kuwa sokoni, baada ya kushindwa kuendana na mfumo wa Antonio Conte.
Kwa mujibu wa vyanzo vya taarifa za michezo nchini Italia, tayari Tottenham Hotspurs wameshaanza kufanya hatua za awali za mazungumzo ya kuipata saini ya nyota huyu.
Nyota huyu alitajwa kuhusishwa na dili la mabadilishano na Tanguy Ndombele, katika mapendekezo ya awali. Taarifa zingine zimebainisha kuwa dau la Milan Skriniar huyu ni €60m, na klabu haipo tayari kufanya mabadilishano zaidi ya pesa keshi.
Sababu ya msingi ya klabu kuhitaji zaidi keshi, ni kwa sababu wanahitaji kutumia pesa hiyo katika sajili nyingine wakati pia wakiwa wanahusishwa na Nikola Milenkovic kutoka Fiorentina anayetajwa kuwa na thamani ya €25m.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


Salma ngende
Bora aende tottenham
Tahiya
Kambi popote
Mwanahamisi
Bora aende tottenham
Dorophina
Maamuzi yapo upande wake wapi anahitaji kwenda
Sauda
Maisha popote
Zeiyana
Kwa ali ya uchumi ilivyo poromoka sijui kama hitawezekana kukamilisha usajiri
Angelina
Aende tu spurs
Mwajumah
Kambi popote
Venerose
Maisha popote
Fatina
Kikubwa uwahi tyu
Hopemwaikuka
Akiona inafaa ni yy tu
magdalena
spurs kama wameamua kweli kumchukua na wamchukue yupo vizuri kijana
aisha
Yataisha hayo kila kitu kitakaa sawa
Caroline
Dahh sawa
Saupha mohamed
Kambi popote
Nasra
Dah safii
Gabriel
Kambi popote
Hidaya
Kikubwa ridhki tu
Amiri Kayera
Wakimpata huyu atawasaidia sana
Rose kapinga
Mpango mzuri!!
Khadija
Kambi popote
Issa
Spurs wapo vizur season hii hilo limeonekan mechi ya juz
felister
Bora aende spurs
Elika
Aende tuu huko spurs
Rehema
Bonge la makala
Ernest
Mourinho ameanza kujitutumua kwenye kuimarisha kikosi chake, Safi sana
Janeflora malisa
Asnt kwa taarif
Sadick
Bado Tottenham ipo sokoni kutafuta mbadala wa Jan#meridianbettz
Fatuma kasomo
Gud news
Sabrina
Itakua poa sana
David Pere
Kwa ali ya uchumi ilivyo poromoka sijui kama hitawezekana kukamilisha usajiri