West Brom wamekubali kumsajili tena kwa mara nyingine nyota Filip Krovinovic kwa mkataba wa mwaka mmoja zaidi kwa mkopo.
Kiungo huyu mwenye miaka 25 raia wa Croatia, alitumia msimu wake uliopita na West Brom kwa mkopo.
Amecheza jumla ya mechi 40 na kufunga magoli matatu kwenye michuano ya Championship huku klabu ikifuzu kuingia kwenye Ligi Kuu Uingereza.
“Nafahamu imechukuwa mda kidogo kwa sasa lakini niko hapa na hilo ni suala muhimu zaidi. Ni inapendeza sana kurejea tena kuwa pamoja na familia.”
West Brom, wameianza safari yao ya Ligi Kuu ya Uingereza msimu huu kwa vichapo mara mbili kabla ya kutoa sare kwenye mechi ya tatu dhidi ya Chelsea ambayo walianza kwa kuongoza 3 bila kipindi cha kwanza. Ni matumaini yao watakuwa na nafasi ya kufanya vizuri zaidi.
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!


Faraja molell
Kujituma ndo la muhim kwako filip
Janeflora malisa
🔥
Antony Luseno
West brom bora wangempa mkataba unaoeleweka kuliko wa msimu mmoja mmoja
Khadija
Kila la kheri kwake
magdalena
filip wewe piga kazi juhudi zako ndo zitakufikisha mbali
Sauda
Kila la kheri kwake
Mwanahamisi
Asante kwa taarifa
Lydia Emmanuel Magoti
Kira la Kheri kwake piga mpila mzee kazi yako ndio itakupereka kufika mbali
Caroline
Hongera Filip
Shani
Anaitendea haki West brom ni safi kuendelea kukipiga
Angelina
Kila kheri
Dorophina
Karibu tena West borm filip
Hopemwaikuka
Home is best place to best
Hidaya
Filip anajua anachokifanya
jullie
good news
Zeiyana
Me naona west brom hawana mipango nae Filip ndio maana wamekua wakimpa mkataba wa mwaka moja moja tu
Fatuma kasomo
Asante kwataarifa@meridianbet
Gabriel
Kila la kheri Filip
Rose kapinga
Piga kazi tuu
Amiri Kayera
Amekua msaada kweny msim uliopt
Issa
Mchezaj ambae westbrom inamuangalia kwa umakin zaid
lombo
habar njema
Sabrina
Inapendeza
Adelta
Iko Vizuri sana
felister
inapendeza sana
Saupha mohamed
Kila la kheri
Mwajumah
Kila la kheri
Nasra
Kila la kheri
Fatina mfigi
Safi kijan
Elika
Safi sana
Rehema
👍
Neema
Kila la kheri
Ernest
Deal zuri kwa Filip Krovinovic
David Pere
Mchezaj ambae westbrom inamuangalia kwa umakin zaid