PSG dhidi ya Man City, Saini ya Kalidou Koulibaly

Paris Saint-Germain -PSG na Manchester City, wote wanafukuzia saini ya beki Kalidou Koulibaly wa Napoli.

Kwa mujibu wa ripoti, PSG ndiyo wako karibu zaidi wakiwa wanaongoza katika kuifukuzia saini ya staa huyu.

Bosi wa Napoli, Genaro Gattuso aliweka wazi wiki iliyopita kuwa ili kuweka sawa mambo katika vitabu vyao, wanaweza kumuuza beki huyu mwenye uraia wa Senegal.

Kalidou Koulibaly
Kalidou Koulibaly

Hata hivyo, hii siyo mara ya kwanza kwa Koulibaly kuhusisha na kuondoka Stadio San Paolo, lakini mara zote dau lake limekuwa juu kiasi cha kuwakwamisha wanunuzi.

Lakini kwa mujibu Daily Mail, PSG wametiwa moyo na tamko la bosi Gattuso na tayari wapo tayari kuingia mazima kwenye mazungumzo dau likiwa ni £72m.

Manchester City walikuwa mbioni kufukuzia saini hii, kama walivyokuwa wapinzani wao Man United wakati fulani, lakini nia yao ya kumsajili inaonekana kama imekufa.


 

Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!

Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!

Soma Zaidi

35 Komentara

    🔥

    Jibu

    Asante kwa taarifa meridianbet

    Jibu

    Wasiwauze wachezaji kwa madau makubwa ili wapate timu za kuchezea.

    Jibu

    Kutokana na matokeo ya man city kutokuwa mazuri uenda wakawa na asilimia kubwa za kumsajili

    Jibu

    iyo inaitwa mwenye kisu kikali ndo atakula nyama wa timu itkayokizi vigezo ndo itanyakua saini ya kiungo uyo

    Jibu

    Kwa hali hiyo, wachezaji inabidi wauzwe kwa kiwango kidogo cha pesa.

    Jibu

    Itakuwa vizuri wakimsajili kiungo makini huyo

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Labda man city wanataka kumsajili .maana nao wameshuka Sana kiwango

    Jibu

    Saiz usajili umeshakuwa kama biashara maana wachezaji wanauzwa kwa madau makubwa

    Jibu

    Goodupdate

    Jibu

    Koulibaly ni beki ambae napoli inamtegemea hivyo psg na City inabid iwek dau la maana kumngo’a

    Jibu

    Usajil huko so hot

    Jibu

    Mambo ya fedha hayo kizuri kinajiuza

    Jibu

    Tuangalie mahamuzi yake ila akienda man city hitakua vizuri sana

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    matokeo ya man city kutokuwa mazuri uenda wakawa na asilimia kubwa za kumsajili

    Jibu

    Mwenye kisu kikali atakula nyama!!

    Jibu

    Psg naon kuwa na nguv zaid

    Jibu

    Koulibary anasumbua vilabu vikubwa inabid napoli imuongeze pesa

    Jibu

    mambo ni moto na meridianbet

    Jibu

    Mwenye pesa ndio atampata

    Jibu

    aende psg

    Jibu

    Kizuri siku zote kinajiuza 👍👍

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Itakua vizuri wakimsajili uyo kiungo makin

    Jibu

    Itakuwa ngumu

    Jibu

    Hapo kila mtu anavutia kwake

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Hapa kazi ipo maana wote wanashida na beki

    Jibu

    iyo inaitwa mwenye kisu kikali ndo atakula nyama wa timu itkayokizi vigezo ndo itanyakua saini ya kiungo uyo

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.