Zidane: Hazard Anakaribia Kurejea Dimbani.

Kocha mkuu wa Real Madrid Zinedine Zidane amesema Eden Hazard “yupo karibu” kurejea akiwa yupo fit baada ya kukaa nje kwa kipindi kirefu.

Mchezaji huyo ambaye pia ni mtaifa wa Ubelgiji amekuwa akipambana kuwa katika kiwango kizuri nchini Hispania baada ya kuhamia Madrid kwa dau la €100m akitokea ligi ya Premier League katika klabu ya Chelsea.

Alifunga goli katika msimu wake wa kwanza katika dimba la Santiago Bernabeu na anatarajia kurudi katika hali yake ya kawaida baada ya kufanyiwa upasuaji katika mguu wake wa kulia.

Zidane: Hazard Anakaribia Kurejea Dimbani.

Zinedine amesema kwamba Hazard yupo njiani kurudi kucheza kwa mara ya kwanza msimu huu, ingawa hajathibitisha kama atakuwepo kwenye mchezo wa Jumaatano dhidi ya Real Valladolid.

“Naadhani yupo jirani sana kurudi,” Zidane alisema. “Anajiandaa na anafanya mazoezi vizuri na timu.

“Anachokitaka ni kucheza tu. Alikuwa na tatizo lililopelekea akae nje kwa muda mrefu lakini sasa anaonekana kuwa sawa.

Aliulizwa kama anatafuta wachezaji wa kuwaongeza katika kikosi ikiwa muda wa dirisha la usajili unaelekea kuisha, Zidane alisema kuna ugumu kwenye hilo maana tayari amepanga kikosi cha watu 11 imara.

Vinicius Junior ni moja ya wachezaji ambao wanapambana kucheza katika dimba la pembeni ingawa Zinedine amesisitiza anafurahishwa na winga huyo.

“Ninafuraha na kikosi nilicho nacho,”alisema kuongeza wachezaji zaidi sidhani siyo mipango yangu.

Timu ya Real Madrid tayari imecheza michezo miwili katika LaLiga msimu huu, mchezo wa ufunguzi ilienda sare ya kutofungana na Real Sociedad ikifuatiwa na ushindi wa 3-2 dhidi ya Real Betis.


Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!

Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!

Soma Zaidi

37 Komentara

    Daah itakua poa sana akirejea dimbani

    Jibu

    Huu msim inabid aonyeshe thaman yake vzr

    Jibu

    habar njema

    Jibu

    Habari ya kufurahisha hii

    Jibu

    Habar njema kwa mardrid

    Jibu

    yuko vzr

    Jibu

    Akirejea dimbani itakuwa poa sana

    Jibu

    itakua vizuri akirejea tena

    Jibu

    Jambo zuri sana

    Jibu

    Hakika ni habari njema iyo

    Jibu

    hazard bora arudi tu maana tumemisi kuona mbwembwe zake uwanjani

    Jibu

    Na sisi tunamuombea arejee salama

    Jibu

    Makala nzuri

    Jibu

    Bora arejee kwa mara nyingine.

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Hazard alikua vizuri alipo kua Chelsea tu toka haende Real Madrid akuna mahajabu yoyote aliyo yafanya

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Haabri njema kwa klabu yake hazard ni mchezaji mzuri sana akiwa uwanjani

    Jibu

    Tulikusubiri kwa hamu kubwa.. karibu mchezoni

    Jibu

    Hata mashabiki tunafuraha kusikia hazard anarudi dimbani tulimiic kuona position yake.

    Jibu

    Itakua poa sana

    Jibu

    Ni kipindi chake sasa aonyesh makeke

    Jibu

    Karibu hazard tulikums sana

    Jibu

    Tunamsubiri kwa hamu

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Imekaa poa sana 👍

    Jibu

    Hazard kama amepoteza uwezo wake toka atue madrid na majeruh yanamrudisha nyuma

    Jibu

    Hazard wa Chelsea sio huyu wa Real Madrid,inashangaza kuona mchezaji mahiri kupotea kwenye rada za wachezaji mahiri#meridianbettz

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Habari nzuri Sana

    Jibu

    Itakuwa poa Sana Hazard kulejea dimbani tulipoza jembe kutokuona kamanda

    Jibu

    Mashabiki tunafurah kuludi kwa hazard dimbani

    Jibu

    Tunasubiri kwa hamu kumuona Hazard mpya baada ya kutoka kwenye majeruhi

    Jibu

    Hazard alikua vizuri alipo kua Chelsea tu toka haende Real Madrid akuna mahajabu yoyote aliyo yafanya

    Jibu

    Hazard natumai hata tuonyesh thaman ya pesa yake

    Jibu

    Habari njemaa

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.