Son Kurejea Baada ya Mechi Za Kimataifa

Kocha wa Tottenham – Jose Mourinho, anategemea mchezaji wake Son Heung-min atarajea tena uwanjani baada ya michezo ya kimataifa mwezi ujao.

Son alipata majeruhi katika mchezo wa EPL dhidi ya Newcastle United na atakuwa nje kwa muda akiwa tayari ameukosa mchezo dhidi ya Chelsea na mingine kadhaa ijayo.

Kutokana na ratiba ngumu ya michezo ya Tottenham, watacheza michezo 5 katika siku 11 kabla ya mechi za kimataifa. Suala hili limemfanya Mourinho awasihi makocha wa timu za taifa kuhusu kuwatumia wachezaji wake.

“Ninatarajia kuwa na Son baada ya mechi za kimataifa. Hii inanipa nafasi ya kuongelea michezo hiyo.

“Nina imani makocha wa timu za taifa wanatakwimu zao na wanajua ni muda gani wachezaji wa Tottenham wameshautumia uwanjani kwa wiki hii tu.

“Ninadhani wanawajali na kuwalinda wachezaji kwasababu wachezaji wa Tottenham wamefanya kazi kubwa sana viwanjani mpaka sasa, ni hatari sana.

“Nilichokifanya leo kwa Eric Dier (kumchezesha mechi hii baada ya siku 2 toka mchezo wa mwisho) ni hatari sana.” amesema Jose Mourinho.

Tottenham watakuwa uwanjani Alhamisi hii katika mchezo wa Europa wakiwaribisha Maccabi Haifa na kisha watawafuata Manchester United – Old Trafford siku ya Jumapili.


Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!

Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!

Soma Zaidi

36 Komentara

    Son ameanza vzr msimu kwa kupachika bao 4 mpaka sasa akizidiwa na Calvert-Lewin na Jamie Vardy wenye mabao 5 mpaka sasa#meridianbettz

    Jibu

    Korean Ronaldo

    Jibu

    Son Ni mchezaji mzuri sana timu imepata pengo kubwa kupungukiwa na mchezaji huyo

    Jibu

    Ni miongoni mwa wachezaji wakiwemo katika timu matokeo mazuri yanapatikana

    Jibu

    Son Ni mchezaji muhimu sana totenham na amekuwa nguzo muhimu Hilo limeonekana
    Kweny mechi yake ya kwanza kwa kupiga goli 4

    Jibu

    Son mchezaji ambae kiwango chake hakishuki na ushirikiano wake na kane utafanya wapate mabao mengi msimu huu

    Jibu

    Hii no habari njema sasa msimu huu utakuwa poa sana son akirejea#meridianbett

    Jibu

    Afadhar Son urud mzigon

    Jibu

    Good news

    Jibu

    habari njema sana kwa sisi mashabiki tunaomkubali son kijana mahiri

    Jibu

    Karibu sana.

    Jibu

    Son ni tegemeo sana kwa Totenham ata asipokuep team aifany vzr

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa Tottenham

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Bora arudi tu aongeze nguvu

    Jibu

    Son pole Sana kwa majeraha

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Good

    Jibu

    Ushirikiano wake ye na kane umemfanya apachike mabaomengi sana

    Jibu

    Nimchezaji mzuri sana kiwango chake hakishuki

    Jibu

    Son ni msaada mkubw Kwa Totenham

    Jibu

    Son anajua ninii anachofanya anaipenda kazi yake yuko vzr sana kijana

    Jibu

    Wooh son anarejea dimbani itakua poa sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    son ni msaada mkubwa kwa spurs

    Jibu

    Son yupo vizuri ni msaada mkubwa kwa spurs

    Jibu

    Iko poa Sana

    Jibu

    Son ni mchezaji anayejituma sana big up

    Jibu

    Pengo kubwa kwa Spurs

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Son mchezaji ambae kiwango chake hakishuki na ushirikiano wake na kane utafanya wapate mabao mengi msimu huu

    Jibu

    Get well soon

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.