Milan wanaripotiwa kuwa wapo karibu kukamilisha mazungumzo juu ya kukamilisha uhamisho wa beki wa Manchester United Diogo Dalot.
Beki huyu, ambaye ni raia wa Ureno amekuwa akihusishwa na kuhamia Serie A. Milan na Roma ndiyo wanaotajwa kuiwinda saini yake.
Wakati mazungumzo ya dili hilo yakiwa yanaendelea kati ya Milan na Manchester United, kwa mujibu wa ripoti nchini Italia Milan ndiyo wapo kwenye nafasi nzuri ya kumsajili nyota huyu wa zamani wa FC Porto dhidi ya Roma.
Dalot aliungana na Manchester United Julai 2018 kwa dau la €22, na anatarajiwa kuwa anaweza kuondoka kwa mkopo kwenda San Siri kwa sharti la kumnunua
Mapema mwezi Septemba, beki huyu aliripotiwa kuwa anataka kuondoka United, wakati Ole Gunnar akitajwa hana mpango wa kumtumia kwa sasa. Kama dili litakamilika, wikiendi hii atakuwa anaingia Milan.
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!


magdalena
waweke dau mezani tu kijana watampata mbona
Lydia Emmanuel Magoti
Tatizo la Man U sijui wanasanda wapi wekeni mzigo mchukue kiungo huyo apige kazi
Tatu
Milan wakimpata dalot wanakuwa wazuri baadae
Mwajumah
Man u wekeni mpunga mezani mchukue kiungo uyo
felister
habari njema
Venerose
Vinzur sana
Hopemwaikuka
Si vbaya
Issa
Dalot amekuwa kweny kiwango duni toka atue united
aisha
Sio mbaya
Povel
Nice update
Amiri Kayera
Good
Rehema
Good news
Saupha mohamed
Good news
Gabriel
Wamchukue yuko vzur atasaidia sana kikos cua Ac millan
Rose kapinga
Pesa ndio kila kitu
Sabrina
Yuko vizuri atawasaidia katika kikosi chao
David Pere
Tatizo la Man U sijui wanasanda wapi wekeni mzigo mchukue kiungo huyo apige kazi