Aguero anapaswa kuthibitisha kweli anastahili mkataba mpya kwenye klabu hii. Amesema Pep Guardiola.
Baada ya kukaa nje ya uwanja kwa takribani miezi 4, Sergio Kun Aguero amerejea tena uwanjani wikiendi hii katika mchezo dhidi ya Arsenal.
Mkataba wa Aguero unamalizika mwishoni mwa msimu huu na sasa kocha wa Man City – Pep Guardiola, anamtaka mchezaji wake kuonesha kiwango uwanjani na suala la mkataba mpya litaonekana na kufanyiwa kazi kuanzia hapo.
“Kama atacheza katika ubora wake, hakuna mwenye shaka na kiwango chake. Ni mchezaji anayeweza kubaki hapa mpaka siku atakayohitaji kuondoka yeye mwenyewe. Ni mchezaji wa muhimu kwetu, mashabiki na kila mtu.
“Alikuwa nje kwa miezi 4, anatakiwa kuanza mazoezi na kufunga magoli. Hili ndio jambo la muhimu zaidi. Kuwa na Aguero uwanjani tunakuwa vizuri, tunakuwa salama. Tulimkumbuka sana hasa kuelekea mwishoni mwa msimu uliopita, ni habari njema kwamba sasa amerejea.”
Kurejea kwa Kun inaweza kuwa ni mwanzo mzuri wa safari ya City msimu huu kutokana na mchango wake mkubwa kwenye timu hiyo. Kama ataendelea kuwa kwenye ubora wake, ni dhahiri Guardiola hatokuwa na hiyana zaidi ya kumpatia mkataba mpya.
Ondoka na Mkwanja Kwenye Tsh. 160,000,000
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu.


zeiyana
aguero hana mchango mkubwa sana city sizani kama wataweza kumtema kilaisi laisi labda haondoke yeye clabuni pale hii ni habari njema kwa mashabiki wa man city na uwongozi pia ujio mpya wa aguero tunatumaini mambo mengi tutayaona kutoka kwake
Fatina mfingi
Safi san aguero kwa kulejea uwanjani tena
magdalena
guardiola amuache kabisa aguero maana mchango wake pale city umekuwa mkubwa sana
Adelta
Ni vizuri aguero kurudi tena kwa sababu anamchango mkubwa sana
Lydia Emmanuel Magoti
Kumekucha Sasa kuwekwa kwenye mabano Aguero ila wangalie anamchango mkubwa hapo kuitendea kaz City kipasavyo ngoja tuone kitakacho jili kutoka kwa Guardiola
latifa juma mohamed
Aguero yupo fit
Tatu
Aguero kulejea tena kutaleta chachu kwenye soka
Angelina
Safi
Shani
Ni jambo jema
Mwajumah
Safi sana Aguero
Khadija
Safi
Dorophina
Habari njema kwa mashabiki wa man City hatimaye aguero amerejea
Mwanahamisi
Safi
Elika
Safi sana
Janeflora malisa
Nice
Amiri Kayera
Kiwang kimeshuka kutokan na majerah
Fatuma kasomo
Safi yupo vizuri
lombo
vzr
aisha
Big up
Povel
Aguero anastail mkataba mpya ndani ya city
Issa
Aguero makin sana ila pep kama anmkataa
Hopemwaikuka
Waooo
Gabriel
mchango wake pale city umekuwa mkubwa sana
Saupha mohamed
Safii
Sabrina
Piga Kazi Aguero upate mkataba msimu ujao
warda
Ila Aguero yuko poa sana
farida ahmadi
Aguero mkali
Sauda
Aguero yupo fit sana