Gareth Bale alirejea Tottenham baada ya miaka saba tangu alipoondoka kwa dau la euro milioni 85 kwenda Real Madrid. Akiwa Real Madrid alionekana kama amepoteza radha ya soka lake au “kupoteana” akitemwa mara kibao kwenye kikosi cha Zidane.
Wapo wadau ambao wameanza naye safari tena akiwa Spurs, wakiamini kuwa bado yuko kwenye chati na amekuwa akifanya kazi ya ziada kuthibitisha hilo, kuonesha kuwa Real walifanya makosa kumtema kwa staili ile.
Mpaka sasa, Bale amecheza mechi takribani 6 chini ya Jose Mourinho na tayari ameweza kuonesha kuwa bado “hajapoteana”, na wakatin akielekea kwenye Likizo ya Kimataifa ameweza kuthibitisha kuwa yeye ni sehemu muhimu ya Spurs kwa sasa, tayari kwa kuaminiwa na kupata mda wa kucheza wa mara kwa mara.

Steve McManaman -balozi wa La Liga Ansema haya kuhusu Bale
“Nadhani atakuwa na mchango mkubwa sana kwa sababu bado ‘hajapoteana’. Nafahamu alikuwa na majeraha machache kule Liverpool, lakini sio wakati wote alikuwa na majeraha -hakuwa akicheza tu. Nafikiri yupo tayari, na ana vitu vingi vya kuthibitisha.
Hata hivyo, kwa mujibu wa ripoti, Real Madrid bado wanatarajia Gareth Bale kuwa sehemu yao. Unafikiri staa huyu bado ana mapenzi na Real Madrid?
Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.



aisha
Bale yuko vizuri sana
Povel
Bale bado yupo vzr hanaweZ kupambana shida chini ya zidane alikuwah hapati nafasi ya kucheza mara kwa mara kwny kikos cha zidane nakufany kiwango chake kipoteeh mm naiman chini ya mourinho Kama watampa nafasi ya kucheza michezo mbali mbali natumain anawez kurejea kwny ubora wake tuliomzoeah wa kipind kile bale wa spurs na madrid
Theonestina
Namkubar Sana bale.jesh la mtu mmoja
Sabrina
Gareth bale namkubali sana jamaa anajua alafu anatekiniki za kimpira
Hopemwaikuka
Am not sure with this
zeiyana
Bale yupo vizuri sana kama mourhno hatampa nafasi nzuri kikosini hapo tutayaona mengi makubwa kutoka kwake
felister
bale anajua nini anachofanya
magdalena
bale kiwango chake kimpira bado kipo tu vizuri nina imani wakati bado upo wa kuonesha maajabu yake
Shakila mrope
Namkubali sana bale
Fatina mfingi
Bale kiwango chake bado kipo vizur sanaa
Ester jackson
Real Madrid muache tamaa sasa mumemuona bale yuko vizuri mnamuhitaji ikiwa hamkumpa nafasi kwenye kikosi cheno sana kocha Jose Wa Tottenham amemuweka imara mnamtaka tena
Angelina
Bale yuko vizuri
Sauda
Bale fundi
Samira
Bale bado yupo vizuri sana na naimani hivi karibuni atatuthibitishia hiloo ndani spurs
Lydia Emmanuel Magoti
Bale yupo vizuri Sana namkubali kiungo huyo anajua kila anacho kifanya kwenye soka lake
Caroline
Bale bado yupo vizuri sana
Rahma
Bale baba lao
Saupha mohamed
Bale jembe
Fatuma kasomo
Anajua anachokifanya
Janeflora malisa
Anajitambua kwa kila hatua
David Pere
Real Madrid muache tamaa sasa mumemuona bale yuko vizuri mnamuhitaji ikiwa hamkumpa nafasi kwenye kikosi cheno sana kocha Jose Wa Tottenham amemuweka imara mnamtaka tena
Issa
Gareth bale anasubir kustaafu tu