Klabu ya Manchester United inahusishwa na saini ya nyota wa Sporting Braga, David Carmo.
Kwa mujibu wa taarifa nyepesi nyepesi ni kuwa beki huyu wa kati, ambaye amekuwa akifananishwa na yota wa Liverpool, Virgil van Dijk amewavutia klabu ya Man United na wako tayari kuchanja naye mbuga kuinasa saini yake.

Hata hivyo, United wamekuwa wakihusishwa na mabeki kadhaa hivi karibuni na jina la kinda huyu wa miaka 21 ndiyo linaonekana kutupiwa jicho zaidi siku chache zilizopita.
Kuinasa saini ya nyota huyu inaonekana kuwa ni suala ambalo lina ushindani mkubwa sana, kutoka vilabu vingine vya EPL na pia kutoka kwa ligi zingine kubwa.
Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.



aisha
David yuko vizuri sana aende tuu united akakipige
Povel
United wamekuwah watu wa romance na interest za wachezaj mbali mbali katika dirisha la usajili ila ifikapo tamati mchezaj anakwend kusajili wa club nyngne ,about David Carmo united ya sasa. na pressure ya mashabik haihitaj mchezaj wakujaribu kwny kikos inabid wapate mchezaji anayewez kuingiah moja kwa moja kwny mfumo
Theonestina
Namkubar Sana David
Sabrina
Man u wanampango wa kutengeneza kikosi kizuri ila wanacho kifanya wao sio watekelezaji wa taarifa wanazozitoa kuu ya usajiri wao wangekua watu wa kutengeneza fununu tu
Hopemwaikuka
Kijana anafaa kwa matumiz
felister
aende tu united akakiwashe
zeiyana
Tatizo lao man u ni hapo tu hawana ukweli kuasiana na usajili ukiangalia bado wanaitaji wachezaji wengi mwenye uwezo mkubwa ili kurudisha timu yao kwenye ali ya ubora ila kwenye dilisha la usajili hawanonekani kabisa na wasipo hangalia msimu huu wanaweza kushuka dalaja zaidi ya hapo na kwapoteza mashabiki kabisa
magdalena
united waweke tu dau mezani kijana wanamchukua mbona
neema hassan
David fundiii
Shakila mrope
Namkubali san david
Fatina mfingi
David jeshii
Ester jackson
Man u mjitahidi sasa kumsajili mapema sio mnaacha kumsajili ikifika mwishoe mnahamaki kwa kumkosa mchezaji
Angelina
Namkubali
Sauda
David yupo vizuri
Samira
Utd wamchukue tu maana kikosi chao hakijaimarika bado
Lydia Emmanuel Magoti
Itakuwa bonge ladili Man U wakibatika kuinasa Saini yakiungo huyo itakuwa poa sana
Caroline
Man U changamkieni fursa..
Rahma
David jembe
Saupha mohamed
David jembe
Fatuma kasomo
Asante kwa taarifa meridianbet
Janeflora malisa
Ni jesh huyo
David Pere
Tatizo lao man u ni hapo tu hawana ukweli kuasiana na usajili ukiangalia bado wanaitaji wachezaji wengi mwenye uwezo mkubwa ili kurudisha timu yao kwenye ali ya ubora ila kwenye dilisha la usajili hawanonekani kabisa na wasipo hangalia msimu huu wanaweza kushuka dalaja zaidi ya hapo na kwapoteza mashabiki kabisa
Issa
United imchukue carmo mtu wa maajabu ndan