Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Uholanzi na vilabu vya Ajax na AC Milan, Marco van Basten wamewashutumu wachezaji wa Barcelona, Lionel Messi na Antonie Griezmann kwa aina wanavyocheza.

Akiongea na Ziggo Sport, Van Basten alisema “Kwa kifupi tu ni kuwa wanacheza vibaya sasa hivi, Messi na Griezmann wanacheza kama watu wawili wasio na malengo, ni kama watengeneza keki wasiojua wanachokifanya.”
“Inawezekana kabisa hawana motisha kutokana na kukosekana na mashabiki. Ukiachana na hivyo hajafanya mazoezi sana katika miezi michache iliyopita, hana furaha na mazingira yalivyo Barcelona.” aliongeza Basten kuhusu Messi.
Hadi 130,000,000 TSH Kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.



Adelta
Ni kweli wanazingua Kama vipi wapange kikosi kipya ili waweze kujuwa wanafanya nini?
Shakila mrope
Mhh iyo kali
Ester jackson
Kweli ila tunasubiri tu mikataba yao iishe tuone wataendelea au wanasubiri kupata motisha kwa mashabiki au wanafanya hivyo ili wasiongezewe mikataba
Povel
Messi hameshakata tamaa na maisha ya nou camp hanatak kubadili mazingira na griezman bado hajatuonyesha ubora ule tuliomzoeah kipind yupo atletico Madrid na national team ya france hapo bodi na benchi la watafakari
magdalena
hawa wote wamekutana wababe wa mpira
magdalena
hawa wote wamekutana wababe wa mpira
Sauda
Du! Kazi ipo
Fatina mfingi
Hao ni mafahar wawil awawez kukaa ziz moj
Sadick
Messi ni kama mfalme na Barcelona inamuhitaji zaidi kuliko yeye anavyoihitaji Barcelona. Griezmann anasema nafasi anayochezeshwa sio aliyozoea pengine ndio maana hafurahii tena soka
Dorophina
Hao wote wawili kwa sasa wanazingua sana kwenye soka wanacheza vile wao wanavyotaka na sio mwalimu alivyowafundisha
Tatu
Mm naona majina yao yanawabeba sana awana mpira wowote wanaocheza
Lydia Emmanuel Magoti
Mmmm sio poa ngoma ngumu apo
Samira
Griezman bado sana kufikia revo za messi ni bora atulie tu asubiri messi ajiondoe hapo huenda atang’aa
Nasra
Ngoma ngumu
Saupha mohamed
Dhuuu atalii
aisha
Noma wababe wa mpira
Genia Sikaluzwe
hawa wote wamekutana wababe wa mpira
Hopemwaikuka
Kama wamechoka wapumzke
samiah
Wababe wa mpira
warda
Hata mie nimeliona hilo