Arsenal vs. Burnley
Arsenal watakuwa wanatarajia kufanya mapinduzi kwenye msimamo wa ligi pale wanapoingia dimbani dhidi ya Burnley pale Emirates Stadium Jumapili hii.
Washika mtutu wanaingia kwenye mechi hii wakiwa na njaa ya ushindi kwenye nafasi ya 15t ya msimamo wa ligi, wakiwa nafasi tatu tu dhidi ya Burnley ambayo wapo kwenye mstari mwekundu wa kushuka daraja.
Mikel Arteta anaamini kikosi chake kitafanya makubwa baada ya kupata kichapo cha 2-0 dhidi ya wapinzani wao Tottenham Hotspur.
Arsenal wamepoteza gemu dhidi ya Liverpool, Manchester City, Leicester City, Aston Villa na Wolverhampton Wanderers kwenye gemu zao 9 za mwisho za ugenini, ikiwa ni rekodi mbaya ya mwisho tangia mwaka 1995.

Arteta alifika kwa baraka na kushinda taji la FA Cup na Community Shield mwezi Agosti, lakini sasa kuna walakini juu ya hatma ya kibarua chake kwa namna mambo yanavyoenda.
Burnley pia hawajawa na Bahati nao wakiwa na kipindi kigumu kujikwamua katika nafasi ya kushuka daraja. Mechi hii ni muhimu sana kwa pande zote mbili.
Fomu za Timu: Arsenal vs. Burnley BETI HAPA
Arsenal (Premier League) : LWLDLL
Burnley (Premier League): LLDWLD
Vikosi Tarajiwa: Arsenal vs. Burnley BETI HAPA
Arsenal: Leno; Bellerin, Holding, Gabriel, Tierney; Ceballos, Xhaka; Willian, Lacazette, Saka; Aubameyang
Burnley: Pope; Lowton, Tarkowski, Mee, Taylor; Brady, Westwood, Brownhill, McNeil; Rodriguez, Wood.
MALIZA MWAKA KIBINGWA KWA KUJISHINDIA SHEA YAKO KWENYE SHILINGI 140,000,000TSH!!
Kipindi hiki cha sikukuu kinamalizika kwa namna ya kipekee. Shilingi 140,000,000 kushindaniwa katika michezo ya Evolution kwenye Kasino Mubashara ya Meridanbet. Ingia mchezoni na ujiwekee nafasi ya kushinda shea yako!!!



Latifa juma mohamed
Tunasubiri kitu uwanjani.
Ester jackson
Kwa kweli itakuwa timu yenye ushindani
Adelta
Tunasubiri tuone
David Pere
Arsenal wamepoteza gemu dhidi ya Liverpool, Manchester City, Leicester City, Aston Villa na Wolverhampton Wanderers kwenye gemu zao 9 za mwisho za ugenini, ikiwa ni rekodi mbaya ya mwisho tangia mwaka 1995.
Sarah
Tusubiri kwahamu ili tuone
Khadija
Tusubili tuone
Hopemwaikuka
Dk 90 ztamaliza utata
Shakila mrope
Tunasubilia tone
Lydia Emmanuel Magoti
Ngoja tuone kwasababu kilamtu anaziitaji point 3
Sadick
Ni siku za the Gunners kuonyesha iliteleza siku za nyuma sasa imerejea rasmi
Ernest
Arsenal akipoteza na leo basi The Gunners wajiandae kushuka Daraja
Ally mohamedi ally
Ila hii mechi ni ngumu
Caroline
Patachimbika
Dorophina
Mechi itakuwa na upinzani mkubwa sana maana kila timu inataka hizo point 3
Mwanahamisi
Tunasubili tuone
Issa
Arsenal ni noma
[email protected]
Kazi ipo hapo
samiah
Nomaa Arsenal
Tatu
Mechi kali kila mtu anaisaka point tatu
warda
Ilinikosa hii
Rahma
Panatakuwa apatoshi tunasubilia tu
aisha
Kazi ipo