Chelsea wameripotiwa kujiunga na Manchester United na Liverpool katika mbio za kumsajili mshambuliaji wa Borussia Dortmund Jadon Sancho.
Suala la uhamisho wa nyota huyu wa miaka 20 kwenda Old Trafford lilitawala vichwa vya habari vya dirisha la uhamisho la msimu wa msimu wa joto, lakini United hawakukubaliana na dau la Dortmund huku kinda huyo akisali klabuni hapo
Sancho tangu wakati huo haijaweza kufanya vyema sana ukilinganisha na msimu uliopita na akiwa bado hajaona nyavu katika kampeni za Bundesliga msimu huu, lakini mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza bado anahusishwa na kuhamia United ambao wanafukuzana na ubingwa wa Ligi Kuu.

Liverpool poa wanatajwa kuwa wanaangalia kwa karibu maendeleo ya mustakabali mzima wa nyota Jadon Sancho, lakini kwa mujibu wa jarida la Que Golazo, Chelsea iko tayari kuingia kwenye mchuano na wapinzani wao wa Ligi Kuu kuwania kumsaini.
Dortmund wamekuwa wakiweka wazi kwamba Staa huyo wa zamani wa Manchester City anaweza kutafuta klabu mpya hapo baadaye, na mchuano bado ni mkali wa kuipata sahihi yake. Hata hivyo Dortimund bado wanaitaka huduma yake na timu hii ya Bundesliga haitaki kuidhinisha kuondoka kwa Januari.
Mkataba wa Sancho wa sasa huko Westfalenstadion utamalizika mnamo 2023, na magoli pekee, ya mshambuliaji huyu msimu huu yamepatikana kwenye Ligi ya Mabingwa na DFB-Pokal.
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?



Tatu
Sancho amekuwa kama almasi
Dorophina
Sancho amekuwa ashikiki kabisa kwenye usajili
Angelina
Natamni Sancho aje man u
Rahmal
Sancho Yuko vizuli
Mwanahamisi
Sancho namkubali sana
Lydia Emmanuel Magoti
Sancho namkubali
felister
Sancho mtu mbaya
Janeflora malisa
Safi
warda
Wanazidi kumpandisha juu vile wanamgombania
Magdalena
Sancho kawa dhahabu sasa anasakwa na vilabu vikubwa vingi
Adelta
Sancho Yuko makini
Sarah
Namkubali sana Sancho
Sania
Nyota imeng’ara kwa Sancho
Hopemwaikuka
Sio mbaya
Issa
Sancho moto sana tu
Gabriel
Imekaa poa sana