Mwanadada Becky Hammon 43, amekuwa mwanamke wa kwanza kufundisha timu ya mpira wa kikapu NBA (San Antonio Spurs) katika msimu wa kawaida baada ya mikoba ya kocha mkuu Gregg Popovich hapo jana baada ya mchezo.
Hammon aliingia zikiwa zimebaki dakika 3:56 katika robo ya kipindi cha pili katika mchezo dhidi ya Los Angeles Lakers. Lakers walishinda mchezo huo kwa vikapu 121-107. Mwanadada huyo alikuwa msaidizi wa kocha aliyetimuliwa.

“Ni wazi ni jambo kubwa. Ni wakati muhimu.” Hammon aliviambia vyombo vya habari
“Nimekuwa moja ya timu hii. Niliuzwa hapa mwaka 2007 (Nilipokuwa WNBA), kwahivyo nimekuwa San Antonio na sehemu ya shirika la Spurs na michezo na kila kitu kwa miaka 13. Nimewekeza muda mwingi na Wana muda mwingi wamewekeza kwangu kunijenga na kuniboresha.
“Kwa kweli sijapata wakati wa kutafakari. Sijaangalia simu yangu, kwa hivyo sijui kinachoendelea nje ya Kituo cha AT&T usiku wa leo.” aliongeza Hammon
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?



Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri Sana mdada wanawake tuna weza
felister
safi
Adelta
Vizuri Sana
warda
Wanawake tunaweza sana tu
Janeflora malisa
Safi
Magdalena
Mwanamke mwenye uwezo wa kipekee
Sarah
Wanawake tukiamua tunaweza sana
Angelina
Kweli wanawake wameamka
Sania
Wanawake tupo juu
Rahmal
Wanawake tuna weza
Dorophina
Pongezi kwake
Hopemwaikuka
Waooo! Congrats to u
Issa
Hammon saf sana
Gabriel
Yuko vzur