los angeles lakers - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Jordan Asajiliwa Los Angeles Lakers.

Daily News

  Klabu ya Los Angeles Lakers wamesajili rasmi mkongwe DeAndre Jordan kwenye orodha yao, baada ya kutangaza rasmi jana [Alhamisi] usiku.   Masharti ya usajili huo hayajatolewa, ingawa jarida la …

Lakers Yatupwa Nje Kunako NBA.

Basketball

Safari ya matokeo mabaya kunako NBA msimu huu, imetamatika kwa LA Lakers kutupwa nje ya mashindano hayo kwa mwaka huu. Lakers wamejikuta wakimaliza mzunguko wa kwanza wakiwa nafasi ya 11 …

Lakers Wapokea Kichapo Cha 5 Kwenye NBA.

Basketball

Wanayopitia Manchester United kwenye soka, kinafanana na wanachopitia LA Lakers kwenye NBA msimu huu. Lakers wamejikuta wakiambulia kipigo cha 5 kati ya michezo 7 waliyocheza hivi karibuni. Hali sio shwari …

NBA: Lakers na Heats Warudi Mzigoni.

Basketball

Michezo kadhaa ya NBA imeendelea usiku wa kuamkia leo (Jumamosi). LA Lakers na Miami Heats, wamerejea mzigoni. Baada ya kupoteza michezo yao (kabla ya wikiendi hii), hatimaye timu hizi zimeonesha …

NBA: Heats Yawaadhibu Lakers.

Basketball

Katika muendelezo wa ligi ya NBA, Miami Heats walikuwa uwanjani wakichuana na LA Lakers. Huu ni mchezo ulioturudisha kwenye fainali ya msimu uliopita. Lakers walipambana na Heats kwenye fainali ya …

NBA: Lakers Yatolewa Umaarufu na 76ers

Basketball

Michezo kadhaa ya NBA imeendelea usiku wa kuamkia leo ambapo Mabingwa watetezi, LA Lakers, wamejikuta wakiotolewa umaarufu kwa kupoteza mchezo dhidi ya Tha Philadelphia 76ers. Lakers walikuwa na rekodi ya …

Lakers Ushindi, Clippers Chali!!!

Basketball

Tukizungumzia derby sio tu kwenye soka, hata mchezo wa kikapu unaderby zake. LA Lakers na LA Clippers ni majirani, ila wamepata matokeo tofauti usiku wa kumkia leo. Lakers walikuwa uwanjani …

Lakers na Bucks Mambo ni Bambam!!

Basketball

La Lakers wameondoka na ushindi kwa mara ya pili mfululizo wakati ambapo Milwaukee Bucks wamewagaragaza Chicago Bulls usiku wa kuamkia leo. Lakers walikuwa uwanjani kuchuana na San Antonio Spurs ambapo …

Chiellini Astaafu Soka Rasmi

Daily News

Beki raia wa kimataifa wa Italia Giorgio Chiellini ametangaza kustaafu soka rasmi akiwa na umri wa miaka 39 ndani ya klabu ya Los Angeles Lakers baada ya kuutumikia mchezo huo …

1 2 3