Lautaro Apiga Perfect Hat-Trick Dhidi ya Crotone.

Lautaro Martinez alipiga hat-trick kamili na Romelu Lukaku aling’aa wakati Inter iliposhinda 6-2 dhidi ya Crotone katika dimba San Siro ikiwa ni moto walianza nao 2021.

Lautaro alifunga goli la kwanza kupitia mguu wa kushoto dakika ya 20 kabla hajaweka goli la pili kwa mguu wa kulia dakika ya 57 na goli lililokamilisha hat-trick alifunga kwa kichwa dakika ya 78.

Lautaro Apiga Perfect Hat-Trick Dhidi ya Crotone.
Lautaro Martinez na Romelu Lukaku wakipongezana baadaya kufunga bao.

Inter imekaa juu kwenye jedwali la Serie A angalau hadi pale Milan watakapo cheza dhidi ya Benevento baadaye siku ya Jumapili.

Matokeo yalikuwa 2-2 mpaka wanakwenda mapumziko baada ya Martinez kuisawazishia Inter goli lililofungwa na Niccolo Zanellato na alikuwa kwa karibu katika bao la kujifunga la Luca Marrone kabla ya penati ya kusawazisha ya Vladimir Golemic.

Lakini Martinez alimaliza kufunga goli lake la tatu dakika ya 78 kipindi cha pili, wakati Lukaku, aliyehusika katika magoli manne ya kwanza ya Nerazzurri, pia alihusika kwenye bao na Achraf Hakimi alifunga katika ushindi wa magoli sita na ulikuwa ushindi wa tano mfululizo.


VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?

SOMA ZAIDI

13 Komentara

    Hongera kwake

    Jibu

    Jamaa katishaa sana

    Jibu

    Safiii sana

    Jibu

    Yuko vizuri

    Jibu

    Hongera kwao

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Good

    Jibu

    Inter wanajitahidi sana

    Jibu

    Inapendeza 👏👏

    Jibu

    Saf

    Jibu

    Hii ni salaam kwa Barca

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Lukaku mwamba

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.