Manchester United wameendelea walipoishia 2020, hii ni baada ya kutolewa kwenye nusu fainali ya Carabao Cup.
United wanapoteza mchezo wa 4 mfululizo kwenye hatua ya nusu fainali wakiwa chini ya Ole Gunnar Solskjaer.
Msimu uliopita, United walifungwa na Man City (Carabao Cup), Chelsea (FA Cup), Sevilla (Europa League) na jana usiku City wamerudia walichokifanya 2020.

Magoli ya John Stones na Fernandinho kwenye kipindi cha pili, yaliwatosha vijana wa Pep Guardiola kufuzu hatua ya fainali na sasa watakwenda kuchuana na Tottenham Hotspurs.
Huu utakuwa ni mchezo wa kwanza kwa Pep kukutana na Mourinho kwenye mchezo wa fainali tangu makocha hao walipokutana kwenye Copa Del Rey (2011) na Mourinho kuibuka kidedea.
Unadhani The Red Devils wanakwama wapi kwenye kila mchezo wa nusu fainali waliyocheza wakiwa na Solskjaer??
Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??



Adelta
Pole yao
Lydia Emmanuel Magoti
Duu pole yao Sio poa hii
Shakila mrope
Polen san
Rahmal
Poleni
Gabriel
Manchester United wako vzur ila tatizo lao liko upande wa ulinzi ni muda mzur wa ole gunar apange kikosi chake vzur
Magdalena
United nilijua hatoweza kutoboa
warda
Ndo tatizo la United ikishinda mala kwa mala wanabweteka
Neema juma
Pole yaoo
Sania
Pole yao
Tatu
Pole yao
Sabrina
Pole yao man u
Caroline
Pole yao
Asia Abdy
Dah sio poa
farida ahmad
Manchester United wametuangusha kweli
Dorophina
Man u washakuwa wabovu sijui ht imekuwaje chama kubwa kama hili
Saupha mohamed
Pole yao
Angelina
Nice update
aisha
Poleni sana
Issa
Bahat haikua kwao
Hopemwaikuka
Man u raha Siku1 shda mwaka mzma
Sarah
Pole yao