Kwa mujibu wa vyanzo mbali mbali vya habari za kichezo, klabu ya AC Milan imempoteza kiungo Kouadio maarufu kama Kouadio ‘Manu’ Kone kwa Borrusia Monchengladbach.
Vyanzo kadhaa vikiwemo vyanzo vya Calciomercato, L’Equipe, le10sport.com, Fabrizio Romano, na Sky Sport vyote vinathibitisha kukamilishwa kwa dili la staa huyu.
Borussia Monchengladbach wamekubaliana na ada ya €9m pamoja na bonasi ya €1m ya uhamisho wakati na Toulouse na kukamilisha makubaliano binafsi na mchezaji mwenyewe.

Milan hawakuwa wamejiandaa kuiongeza na kufikia dau la zaidi ya €5m ukijumuisha pamoja na bonasi katika mpango wao wa kuinasa saini yake.
Nyota huyu wa miaka 19 amecheza jumla ya mech 17 za Ligue 1 msimu huu na kufanikiwa kufunga goli moja.
Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??



Adelta
Ac milan mnakwama wapi?
David Pere
Milan hawakuwa wamejiandaa kuiongeza na kufikia dau la zaidi ya €5m ukijumuisha pamoja na bonasi katika mpango wao wa kuinasa saini yake.
Hopemwaikuka
Milan pambanen jaman
Magdalena
Duh balaa ila watapata mwingine
Lydia Emmanuel Magoti
Duuh sio poa wamtafute mwingine
Gabriel
Dogo yuko vzur sana
Sabrina
Duuh itakuaje sasa maana kijana yupo vizur
Sarah
Inakuaje tena milan jamaa Yupo vizuri
Rahmal
Milan mbona mnakuwa ivyo
Dorophina
Wamempoteza kijana makini sana
Angelina
Nice update
aisha
Pole yao
warda
safi sana