Mshambuliaji wa Juventus Alvaro Morata anaendelea vizuri na anatarajia kuwa fiti kurejea dimbani kwenye mechi dhidi ya Inter, mechi maarufu kama Debi ya d’Italia Januari 17.
Kwa mujibu wa Sky Sport Italia, nyota huyu Mhispania anaendelea vizuri kwa sasa baada ya kukosa mechi dhidi ya Udinese na Milan kwa sababu ya kuuguza jeraha la msuli.

Nyota huyu bado hatakuwa tayari kwenye mechi ya wikiendi hii dhidi ya Sassuolo, lakini anatarajiwa kuwa atarejea benchi kwenye raundi ya 16 ya Copa Italia kwenye mechi dhidi ya Genoa Januari 13.
Kama Morata ataweza kufanya vyema kwenye mechi hii basi anatarajiwa kuwa atakuwepo kwenye kikosi kinachoanza dhidi ya Inter Januari 17.
Baada ya mechi hiyo Juventus watakuwa na kibarua kinginge siku tatu baadaye kwenye Supercup dhidi ya Napoli Januari 20.
Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??



Adelta
Morata pole Sana na majeraha mashabiki tunasubiri tuone maajabu yako
Sania
Mungu akupe nguvu Morata uendelee kupiga kabumbu
Shakila mrope
Mungu akutie nguvu uwe imara zaidi
David Pere
Nyota huyu bado hatakuwa tayari kwenye mechi ya wikiendi hii dhidi ya Sassuolo, lakini anatarajiwa kuwa atarejea benchi kwenye raundi ya 16 ya Copa Italia kwenye mechi dhidi ya Genoa Januari 13.
Magdalena
Safi sana morata kwa maamuzi mazuri
Hopemwaikuka
Uamuz mzur
Lydia Emmanuel Magoti
Itakuwa vizuri
Gabriel
Morata yuko vzur
Sabrina
Itaku poa Sana morata
Sarah
Jambo zuri morata
Rahmal
Itakuwa poa morata
Dorophina
Kila lakheri morata
Angelina
Safi
aisha
Nice
warda
Itakuwa powa sana