Barcelona wanahusishwa na uhamisho wa nyota wa Manchester City na Argentina Sergio Aguero kwa mujibu wa vyanzo vya habari za michezo kutoka Uingereza.
Mkataba wa nyota huyu kwa sasa na klabu ya Man City unaisha Juni 30, na baada ya hapo atakuwa mchezaji huru, anaweza kutia saini na timu yeyote.

Barcelona wanatajwa kuwa wanahitaji huduma yake baada ya kumalizana na Man City. Barca wanaingia kwenye ushindani na Paris Saint-Germain wa Mauricio Pochettino ambao pia wanatajwa kuiwinda kwa ukaribu zaidi saini ya staa huyu anayemaliza mda wake EPL.
Aguero kwa sasa anajiweka karantini kwa siku kumi baada ya kupatikana na kisa cha maambikizi ya Covid-1.
Nyota huyu amekuwa taswira muhimu kwenye soka la Uingereza na kutoa mchango mkubwa City, pia ana urafiki wa karibu sana na Lionel Messi, huenda hii ikawa inataka kutumika kama mbinu ya kumbakiza Lionel Messi Barca, jampokuwa mpango huu hatutakuwa na uhakika katika kufanya kwake kazi.
Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE! Unasubiri nini??



Shakila mrope
Asante kwa taarifa meridian bert
Sania
Habari njema
Sadick
Itakuwa kamari kwa Barcelona kujaribu kumusajiri mchezaji ambae amekuwa na majeraha ya mara kwa mara kwa mara
Caroline
Aguero yupo vizuri
Rahmal
Aguero Yuko vizuli
Dorophina
Barca wakifanikiwa kumsajili aguero watakuwa wamepata jembe
Magdalena
Wajipange sana
Saupha mohamed
Aguero yupo vizur
Mwanahamisi
Habari njema
Issa
Aguero majeuh
Lydia Emmanuel Magoti
Habari nzuri
felister
aguero yupo vizuri
Hopemwaikuka
Sio mbaya
Sarah
Aguero yupo vizuri
warda
Itakuwa poa
Chiku
Safi sana