Baada ya kutokea hali ya sintofahamu katika kambi ya wachezaji wanaoshiriki Australian Open 2021, kiongozi wa mashindano hayo anaamini yataendelea kama yalivyopangwa.
Siku ya jumatano, takribani watu 507 walipewa amri ya kujitenga kutoka kwa maofisa wa afya ya jiji la Melbourne, hii ikiwa ni baada ya mfanyakazi mmoja wa hoteli kupatikana na maambukizi ya COVID19.
Sambamba na kujitenga, pia vipindi vya mazoezi pamoja na tukio la kupanga michezo kwa siku ya Alhamisi, vilighairishwa na sasa vitafanyika Ijumaa.
“Tunategemea kuendelea na ratiba ya awali kuanzia leo” alisema Tiley.
Mechi za wanawake zitachezwa kwa seti 2 pekee huku kwa upande wa wanaume michezo yote itaendelea kwa seti 3 kama ilivyokuwa imepangwa awali.
Zoezi la kupanga mechi za Australian Open 2021, litafanyika Ijumaa .
Neptune’s Richies ni mchezo Unaokupa pesa chap chap huku ukiwa unaburudika kupitia Kasino ya Mtandaoni ndani ya Meridianbet.



Magdalena
Safi sana
Dorophina
Habari njema hizi kwa mashabiki
Sania
Sawa
Khadija
corona Sasa ni shida
Caroline
Safiiii
Venerose
Safi sana
Rahma
Vizuri sana
Adelta
Hii inapendeza
Mwanahamisi
Safi sana
Ernest Kimeru
Safi
Lydia Emmanuel Magoti
Safiii
David Pere
Good good
Issa
Tumuone Murray tena
Hopemwaikuka
Nc
Sarah
Safii
warda
safi sana