Tetesi zinasema Thomas Tuchel anamtaka mlinzi wa RB Leipzig Dayot Upamecano, 22, na beki wa kati wa Bayern Munich Niklas Sule, 25.
Borussia Dortmund iko tayari kupunguza dau lake kwa mchezaji wa Uingereza Jadon Sancho, 20, kwa pauni milioni 20 hadi pauni milioni 88 kama njia moja ya kuchochea nia ya Manchester United.
Real Madrid imefikia makubaliano ya miaka minne na mchezaji wa kimataifa wa Austria David Alaba, ambaye anaweza kucheza kama mlinzi au kiungo wa kati na mkataba wake na Bayern Munich unamalizika msimu huu.

Mmiliki wa Sheffield United Malkia Abdullah amesema ana ruhusa maalum kusafiri kutoka Saudi Arabia hadi Uingrereza kumuarifu kocha Chris Wilder kuwa kazi yake iko salama hata kama klabu hiyo itashushwa daraja.
Manchester United imekubali kufikiwa kwa mkataba wa kwanza rasmi na winga, Shola Shoretire, 17, huku Paris St-Germain, Barcelona, Bayern Munich na Juventus zikiwa zinamnyatia.
Tetesi zinasema mshambuliaji wa Barcelona raia wa Denmark Martin Braithwaite, 29, alikataa ofa ya West Bromwich Albion mnamo mwezi Januari na kusalia Nou Camp.
Tetesi zinasema John Terry na Patrick Vieira ni miongoni mwa wanaowania kazi ya Bournemouth baada ya Jason Tindall kufutwa kazi.
Tetesi zinasema Huddersfield inafanya mazungumzo na mshambuliaji wa Senegal Oumar Niasse, ambaye kwasasa yuko huru baada ya kutoka Everton mwisho wa msimu uliopita.
Tetesi zinasema Manchester United, Everton na Southampton zimefuatilia usajili wa mlinda lango wa Celtic Vincent Angelini, 17, ambaye mkataba wake unaisha mwisho wa msimu.

Tetesi zinasema aliyekuwa kocha wa Chelsea na Juventus Maurizio Sarri amebadili msimamo wake wa kuwa kocha mpya wa Marseille.
Kurejea kwa mshambuliaji wa Real Madrid Karim Benzema Lyon kunategemea na matokeo ya upande wa Uhispania. Raia huyo wa Ufaransa, 33, aliondoka Lyon na kujiunga na Real mwaka 2009.
Kiungo wa kati wa Arsenal Joe Willock, 21, anasema kuwa alisaini makubaliano ya mkopo na Newcastle kwa miezi sita kwasababu aliwasiliana na Steve Bruce kwa njia ya video.
New York Red Bulls imekubaliana dau lake na Celtic kumsajili winga wa Marekani Cameron Harper.
Neptune’s Richies ni mchezo Unaokupa pesa chap chap huku ukiwa unaburudika kupitia Kasino ya Mtandaoni ndani ya Meridianbet.



Adelta
Tetesi zinasomeka za zinatufurahisha mashabiki
Sania
Asante kwa tetesi nzuri
Magdalena
Munich naona wanataka mapambano
Dorophina
Tuchel kaja kwa Kasi hatari
Khadija
Tetesi zipo poa
Caroline
Asante kwa taarifa
Venerose
Asante kwa makala
Rahma
Tetesi ziko poa
Mwanahamisi
Mnatupa utamu meridianbet
Ernest Kimeru
Hesabu za Thomas Tuchel ni ngumu sana kumuelewa
Lydia Emmanuel Magoti
Habari iko poa
David Pere
Njaa ishawashika tayariiij
Hopemwaikuka
Imeeleweka hyo
Sarah
Tetesi ziko poa
warda
nilipitwa
Rahma
Ziko poa