Kocha Liverpool mkuu wa Jurgen Klopp amesema kwamba Diogo Jota bado atakuwa nje kwa wiki kadhaa lakini Sadio Mane anaweza kuwakabili Manchester City.
Nafasi ya The Reds kutetea ubingwa wa Premier League ilipotelea mikononi mwa timu ya Brighton baada ya kupokea kipigo cha 1-0 katika dimba la Anfield sikuya Jumatano.

Jota amekuwa nje ya dimba tangu mwezi Disemba kutokana na jeraha la goti, wakati Mane alikosa michezo miwili ya Liverpool iliyopita kutokana na jeraha la misuli.
Baada ya mchezo na Brighton kumalizika Klopp alikuwa na habari juu ya wawili hao.
“Diogo Jota ana… Sijui ni lini haswa – wiki kadhaa, mbili , tatu, nne . Sina hakika ,” aliuambia mkutano na wandishi.
‘Na Sadio Mane tutaona, Anaweza kupatikana kwa wikendi hii, Sijui hakufanya mazoezi na timu leo, Tutaona.
Kulekea kuwaongoza City siku ya Jumapili, Liverpool wapo nyuma ya vijana wa Pep Gardiola kwa tofauti ya alama saba ambao bado wana mchezo mmoja mkononi.
Neptune’s Richies ni mchezo Unaokupa pesa chap chap huku ukiwa unaburudika kupitia Kasino ya Mtandaoni ndani ya Meridianbet.



Ernest Kimeru
Klopp anawakati mgumu sana
Lydia Emmanuel Magoti
Pole yake
Dorophina
Majeraha yamekuwa ni changamoto kwa wachezaji
David Pere
Manga ju ya majanga liverpool
Issa
Kloop ubingwa sahau
Sania
Pole sana Kloop
Magdalena
Duh changamoto Sana kwake
Adelta
Pole yake
Sarah
Pole yake
Caroline
Pole yake
Hopemwaikuka
Sorry for him
warda
pole yake