Mabosi wa Yanga wanamshusha kocha wa viungo Jawadi Sabri kutoka nchini Morocco.

Kocha huyo anatua leo jioni na moja kwa moja atasaini mkataba. Ana rekodi ya kufanya vizuri akiwa na Raja Casablanca iliyochukua ubingwa wa Ligi Kuu nchini Morocco msimu wa 2019/20
Pia kocha huyo alikuwa na kikosi hicho na kufika hatua ya nusu fainali katika Ligi ya Mabingwa msimu uliopita.
Uongozi wa Yanga kupitia kwa Kaimu Katibu Mkuu, Haji Mfikirwa alisema; “Makocha wote ambao wapo na Nabi mi watu ambao alishawahi kufanya nao kazi awali.”
Nafasi nyingine kwaajili yako, kasino mpya yenye hadhi ya kipekee inayokupa kila sababu ya kuwa mshindi katika kasino za Meridianbet, anza siku yako na njia rahisi ya kutengeneza mkwanja.



Elika
Hongera kwao watani wa jadi
Johnmary jo
Mambo hayo kwa yanga hongereni #meridianbett #
Adelta
Hongera kwao
Venerose
Hongereni sana Yanga
Sauda
Hapana chezea Yanga wewe..
Issa
Balaa huyu mtu
Theonestina
Hawana jipya hao
aisha
Mtu mbaya huyu namkubali
dorophina
Wamepata kocha mzuri yanga
Khadija
Yanga oyeee
Magdalena
Safi sana
warda
Wanahangaika sana hawa jamaa