Kipigo cha magoli 3 Kwa 0 kutoka Kwa AC Milan kimefanya vijana wa Andrew Pirlo, Juventus Turin kushuka hadi nafasi ya 5 ya msimamo wa Ligi Kuu Italia yani Serie A.

Endapo Juventus watamaliza nafasi hiyo ya 5 kwenye ligi basi itawafanya kupotezà nafasi ya Kushiriki michuano ya UEFA Champions league Kwa Msimu ujao, na hii itakuwa ni mara ya kwanza baada ya miaka 10.
Mara ya mwisho Kwa Juventus kukosa michuano ya UEFA Champions league ni msimu wa 2010/2011 walipo maliza msimu wa Ligi wakiwa nafasi ya 7 wakiwa na alama 59 chini ya Meneja Luigi Del Neri.

Juventus kwa sasa ipo nyuma Kwa alama 1 toka kwa Napoli inayoshikilia nafasi ya nne Kwenye msimamo.
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.



Adelta
Pole yao
Johnmary jo
Hoo pole yao
Furahav
Majanga.
Khadija
Jamani pole yake
Issa
Juve jipangen
Lydia Emmanuel Magoti
Duuh sio poa
Amiri Kayera
Wana msimu mbaya sana
Magdalena
Mbona majanga mazito Sasa
aisha
Duuh sijui itakuaje
Theonestina
Duuuh