Zinedine Zidane amesema “amekasirika sana” baada ya uamuzi wenye utata wa VAR dhidi ya Real Madrid katika sare ya 2-2 na Sevilla Jumapili, ambayo ilikwamisha harakati zao za kuishusha Atletico Madrid kileleni mwa La Liga.

Zidane: Nimekerwa na Uamuzi wa Kuwapa Penati Sevilla

Wakati wa uhakiki wa rafu aliyochezewa Karim Benzema dakika ya 78, waamuzi waliamua mapema beki wa Real Madrid Eder Miltao aliunawa mpira kwenye sanduku. Badala ya kuipatia Real Madrid penati  wakapewa Sevilla. Ivan Rakitic alifunga na kuongeza bao moja kabla ya Eden Hazard kusawazisha ndani ya dakika za lala salama.

Wakati Zidane alikuwa akielezwa, alisema baadaye: “Walichoniambia hakijanishawishi”.

“Nina hasira sana,” Zidane aliambia Movistar. ” Nimeongea na waamuzi kwaajili ya kutafuta maelezo, ina changanya sababu tulistahili zaidi lakini ndiyo ipo kama hivyo.

Aliongeza:”Sielewi chochote kutoka kwa waamuzi, kama Miltao aliunawa mpira na Sevilla vilevile waliunawa.

“Sijashawishika na maelezo yao, unajua sijawahi kuwalalamikia waamuzi lakini leo nina hasira sana.


PESA IPO HAPA KATIKA KASINO YA LUCKY LUCKY.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Zidane, Zidane: Nimekerwa na Uamuzi wa Kuwapa Penati Sevilla, Meridianbet

CHEZA HAPA

17 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa