Eriksen Azimia Uwanjani, Mechi Yaahirishwa

Nahodha na mchezaji wa timu ya taifa ya Denmark, Christian Eriksen azimia uwanjani wakati wa mechi kati ya Denmark na Finland katika fainali za michuano ya Euro 2020.

Mnamo dakika ya 42, Eriksen alionekana kwenda kupokea mpira wa kurushwa kutoka kwa mchezaji mwenzake lakini alidondoka kabla ya kupokea mpira huo.

Wachezaji wenzake na Eriksen waliita madaktari kwa ajili ya kusimamia maendeleo ya afya ya mchezaji huyo. Ndani ya dakika 5 za mwanzo, Madaktari walijaribu kurudisha mapigo ya moyo ya mchezaji huyo bila mafanikio.

Mechi kati ya Denmark vs Finland imeahirishwa na Christian amewahishwa hospitali.

Taarifa rasmi kutoka kambi ya Denmark zinadai kuwa Christian ameamka na anaendelea vizuri.


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

3 Komentara

    Pole yake

    Jibu

    Pole jembe

    Jibu

    Jembe letu

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.