NBA: Clippers Wamerejea Mchezoni vs Jazz

Baada ya kupoteza michezo miwili kunako nusu fainali ya NBA, Western Conference. LA Clippers wamerejea mchezoni kwenye mchezo wa tatu wakiwa nyumbani.

Kabla ya mchezo wa 3 dhidi ya Utah Jazz, Clippers walikua wameshapoteza michezo miwili ya awali kati ya 7 watakayocheza. Hakika huu ulikua ni mchezo ambao Clippers waliingia wakiwa na kila uhitaji wa ushindi.

Ubora wa Kawhi Leonard na Paul George, ulihitajika katika kufanikisha lengo la Clippers kujiwekea matumaini ya kufuzu hatua ya fainali ya NBA kwa upande wa Western Conference.

Paul George (kushoto) alipambana na walinzi wa Jazz

Matokeo ya pointi 132-106 yaliwatosha Clippers kupata ushindi wa kwanza kati ya michezo mitatu. Leonard na George walipachika jumla ya pointi 65 na kupeleka furaha kwa kocha wa Clippers, Tyronn Lue.

” Ninahitaji wachezaji wangu bora wawili ili kuweza kufanya hivyo (kushinda). Wanaweka mfano kwa kila mmoja.” alisema Lue baada ya ushindi dhidi ya Jazz.

Mchezo wa 4 utachezwa Jumatatu usiku.


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.