Sancho na Varane Kuanza Dhidi ya Wolves

Ole Gunnar Solskjaer imethibitisha kwamba Jadon Sancho na Raphael Varane wanaweza kuanza kwa mara ya kwanza katika kikosi cha Manchester United kinachomenyana na Wolves.

Varane alikuwa ni mchezaji wa pili wa aliyesajiliwa kwa pesa kubwa kwa Man United wakati wa dirisha la majira ya joto kwa dau £40 million ($50m) baada ya kuitumikia Real Madrid kwa kipindi cha miaka 10.

Sancho tayari amecheza mara mbili kwa Mashetani wekundu lakini mechi zote alitokea benchi lakini Varane alikuwa bado hajaichezea United tangu atue Old Trafford.

Ole Gunnar Solskjaer alisema:
“Wote Raphael na Jadon wamecheleweshwa kuanza kwa msimu wao, lakini wamefanya mazoezi vizuri wiki hii,” Kocha mkuu wa Norway aliiambia MUTV.


NAMBA 40 ZA MKWANJA

Unawezaje kuikosa hii! Ndani ya kasino za meridianbet kuna mchezo unaoweza kukupa mkwanja mrefu leo hii, Wild Hot 40 ni njia nyingine ya kukufanya milionea, Chagua namba yako na uvune mkwanja.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.