Golikipa wa Reims Amuomba Messi Picha na Mtoto Wake

Mlinda mlango wa Reims Predrag Rajkovic alikuwa wa kwanza kuzuia mipira kwa Lionel Messi akicheza mechi yake ya kwanza ya Paris Saint-Germain tangu asijiliwe akitokea Barcelona kwa uhamisho wa bure na akamuomba staa huyo wa Argentina apige picha na mtoto wake.

Golikipa wa Reims Amuomba Messi Picha na Mtoto Wake

Lakini haikuwa selfie ya kawaida. Rajkovic aliruhusu uwanja kuchukua mtoto wake kutoka alikokua na kumfuata Messi kwaajili ya kupata picha … ya Muargentina huyo na mtoto wake tu.

Messi hakusita hata sekunde moja na akapiga picha hiyo ya kihistoria na mtoto wa Rajkovic wakati akivuta shati la PSG kwa mara ya kwanza.


BADILI KILA KITU KWA SARAFU MOJA TU!

Unaweza kutengeneza faida kubwa huku ukiwa unaifurahia safari kabambe ya wacheza sarakasi kupitia sloti mpya ya Circus Fever Delux kupitia Kasino ya Meridianbet pekee Dau lako linaweza kukupa pesa maradufu kupitia kete au sarafu.

CHEZA SASA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.