Klabu ya Chelsea imeonyesha kuhitaji sana huduma za mshambuliaji wao Christian Pulisic wikendi hii kwa kumtumia ndege binfasi huko Honduras baada ya kumalizika kwa mchezo kati ya USA dhidi ya Honduras.

United State iliinyuka kwa mabao 4-1 Hondurus mchezo wa kutafuta tiketi ya kucheza kombe la Dunia kwa bara ya Amerika ya Kaskazini.
Chelsea kwa wajibu wao walituma ndege kwaajili ya kwenda kumchukua mchezaji wao kuerejea London kuelekea mechi ya Jumamosi.
Kwa mujibu wa wa akaunti ya Twitter ya Aviacionhr, iliripotiwa kwamba klabu hiyo ya Premier League ililazimika kutuma ndege mpaka uwanja wa ndege wa Rampon Villeda Morales, wakiwa na lengo la kumrejesha haraka mchezaji wao kwaajili ya kupata muda wa kupumzika.

Itaangaliwa kama hana kesi ypyote ya majeraha atakuwa katika mstari wa kuwakabili Aston Villa siku ya Jumamosi saa moja usiku saa za Afrika Mashariki.
Meridianbet inakuletea ushindi kwenye kiganjani kwako, unafurahia radha halisi ya burudani ya kasino mtandaoni na tabasamu la ushindi.


